πBiblia inatuambia nini kuhusu pombe?
Angalizo; Tunapoongelea kuhusu pombe sio kwamba tunahamasisha kutumia pombe bali tuelewe kile tunachofanya kwa mapenzi ya Mungu! pombe haikukataliwa ila itumike kwa kiasi. Mhubiri 9:7 Wewe enenda zako, ule chakula chako kwa furaha, unywe mvinyo yako kwa moyo wβ¦
Open printable article βπUzinzi na Uasherati ndio mtego wa kizazi hiki
Uzinzi na uasherati wakati huu umekuwa ndio sumaku kuu ya kuwanasa watu ili waende jehanamu.Sumaki hii imewanasa hata ambao hawakutegemewa wala kutarajiwa.Uzinzi uzinzi uzinzi umekuwa kama perfume ya kujipulizia kila Mara mtu akipenda.Uasherati umekuwa kama heβ¦
Open printable article βπMAFUNDISHO MUHIMU KUHUSU MWILI NA DAMU YA YESU KRISTU | BIBLIA INAVYOELEZA KUHUSU EKARISTI
Yafuatayo ni maswali yatakayotuongoza kwenye mada yetu Yesu alituambia nini kuhusu Mwili wake na damu yake? Yesu alituambia hivi βBaba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa. 50Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu ye yote akiula, hatakufa. 51Mβ¦
Open printable article βπKila kitu ni mali ya Mungu isipokua hiki
Kila kitu ni mali ya Mungu.Kuwa na Mungu ni kuwa na kila kitu.Hata mimi mwenyewe ni mali ya Mungu.Kitu kimoja tu nina hakika nacho kwamba ni mali yangu binafsi nacho ni dhambi zanguπ.Ee Mungu naomba niziungame niweze kubaki mali yako bila kuwa na kitu binafsi.
Open printable article βπUelewa wa namba katika Biblia
Biblia imeandikwa na Mungu kupitia waandishi wanadamu kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu. Hivyo Biblia ni Neno la Mungu. Hivyo mwandishi wa Biblia ni Mungu kupitia wanadamu (God is the primary author of the Bible while human authors are secondary authors). Mungu aliβ¦
Open printable article βπMaana halisi ya kuolewa au ya kuwa mke
NDOA sio kichaka cha kujificha kukimbia matatizo. NDOA sio mahali pa kutolea mkosi. Wala sio mahali pa kupunguzia shida. Ndoa sio mbadala wa elimu na michakato ya kimaisha. Huolewi ili kupunguza adha za maisha. NDOA ni jukumu zito kuliko hata kusoma masters deβ¦
Open printable article βπMbinu 4 anazotumia Shetani kuteka na kurubuni Watu
1. Kutushawishi tuache kusali maaana njia kuu ya mawasiliano kati yetu na MUNGU.Hivyo akifanikiwa hapo kwisha habari yako 2. Kufanya umwogope shetani na nguvu zake kuliko unavyompenda MUNGU. Wakristo wengi leo hii husali na kuomba kwa nguvu mno siyo sababu wanβ¦
Open printable article βπSoma stori hii, unaweza ukajifunza kitu
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,wakiwa katikati ya safari yao meli ilianzakuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yulekijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoakwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwakushika ubao ulioelea majini akaanza β¦
Open printable article βπUfalme wa simu wa sasa
β‘ Asubuhi saa 12 : 00 mtu anaamka, kabla hata HAJAMUSHUKURU MUNGU, kabla hata hajatoka kitandani, kabla hata hajajifunua shuka,πATARIPOTI KWA SIMU KWANZA KABLA YA KURIPOTI KWA YEYOTE, NDIO HAPO UNAONA MTU AKIAMKA KABLA HATA HAJASALI KWA MUNGU ANAAMKIA SIMU KWAβ¦
Open printable article βπUsipite bila kusoma kisa hiki cha kusisimua
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiriaβ¦
Open printable article βπHadithi: Mkasa wa kusisimua, Jifunze kitu hapa
Watu wawiliπ¬ walikuwa wanakunywa pombeπΊπ» baa. Wakati wanakunywa wakaanza kubishanaπ
πΎββ na baadaye ule ubishi ukawa ugomvi.Mmoja akamrukia mwenzake akaanza kumpiga. Baada ya kumpiga kwa muda mrefu akagundua kuwa mwenzake hapumui tena.Kumbe amemwua mwenzie.π°Ndipβ¦
Open printable article βπJifunze kitu Kwenye mfano huu kuhusu Maombi na kuomba
Nabii mmoja aliumwana Jino, lilimtesa sanaβ¦Akapiga magoti kumliliaMungu ili amponye..Mungu akamuonesha mtiflani ili majani yakeYapate kumtibu..Akaenda kwenye mti ule,Akachukua majani yakeakatumia na kweliakaponaβ¦Baada ya Muda MrefuKupita, nabii yule aliumwana β¦
Open printable article βπTarehe ya Pasaka inavyopatikana
KWANINI TAREHE ZA PASAKA HUBADILIKA KILA MWAKA ??JIBU:KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi waangani kama kipimo cha muda. Ziliitwa βLunarcalenderβ au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1 yaMwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaaniMwezi-Mdogo (Crescent Moon).Mwezi unapofika sikβ¦
Open printable article βπSiri ya kamba nyekundu
Miaka zaidi ya 3000 iliyopita katika mji wa Yeriko alikuwepo mwanamke mmoja kahaba, jina lake Rahabu. Huyu mwanamke aliwaokoa wapelelezi wa Israel waliotumwa kwenda kufanya uchunguzi ktk nchi yao.Wakati wana wa Israel wanatoka Misri kuelekea nchi ya Kaanani, Mβ¦
Open printable article βπMambo 7 ya kubadili katika maisha ili ubadilike
1. Huwezi kubadili namna watu walivyokutendea mpaka ubadili namna unavyowatendea.βMatayo 7:12;"Basi yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii."β2. Huwezi kubadili tabia mpaka ubadili marafiki.β1Wakorinthoβ¦
Open printable article β