Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!
. .
NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!..NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
π¬
Discussion
Share a thoughtful comment or reply. Content is escaped before display.
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshaharaβ¦.. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshβ¦
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki β¦
SWALI: Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS Onesha Jibu MMTNTSSNTK: Herufi ya kwanza ya namba Moja mpaka Kumi. Yaani Moja, Mbili, Tatu, Nnneβ¦
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.Namna ya kutumia barafu kutibu chunusi ni rahisi na hβ¦
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwβ¦
Discussion
Share a thoughtful comment or reply. Content is escaped before display.