WIVU HUU NI NOMA
Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje?
Mume: Kama nywele za kichwa changu.
Mke akachukua nguo zake akaondoka, Kufika njiani akakumbuka mumewe alikuwa na kipara Akaanza kurudi kwa mumewe.
WIVU HUU NI NOMA Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje? Mume: Kama nywele za kichwa changu. Mke akachukua nguo zake akaondoka, Kufika njiani akakumbuka mumewe alikuwa na kipara Akaanza kurudi kwa mumewe.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Jinsi ya kupata mpenzi bora1_ lazima na wewe uwe bora kwanza2_ lazima na wewe ujiheshimu** 3_ kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwakβ¦
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wβ¦
Mchanganyiko wa mdalasini na asali ni dawa nzuri ya kutibu chunusi.Changanya asali vijiko vikubwa viwili na mdalasini ya unga kijiko kikubwa kimoja. Sβ¦
Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kishaβ¦
Nilikuwa naangalia mpira wa miguu katika uwanja washule.Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya Matokeo ya mchezo.Kwa tabasamu, alijibu "Wako mbeleβ¦
Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo? DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate