Je, mapacha wanapatikanaje?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Zipo aina mbili za mapacha, wale wanaofanana na wale wasiofanana. Karibu robo ya mapacha wote hufanana. Hii ina maana kwamba wametokana na yai moja lililotungwa mimba ambalo hujigawa katika makundi mawili tofauti ya chembechembe, kila mojawapo hubadilika kuwa kiumbe pekee. Hadi sasa, wataalamu hawaelewi vizuri sababu za yai kujigawa. Mapacha wa aina hii , kwa vile wametokana na yai moja, mara zote huwa na jinsia moja na hufanana sana kimaumbile.
Mapacha wasiofanana hutokea wakati wa yai kupevuka, kokwa za mwanamke hutokea zikawa mayai mawili badala ya moja tu. Mayai yote mawili hurutubishwa na hutungishwa mimba kwa mbegu mbili tofauti za mwanaume. Viumbe viwili hukua wakati mmoja katika mfuko wa uzazi. Mbali ya kukua katika mfuko mmoja wa uzazi na kuwa na umri uleule, mapacha hawa ni sawa sawa na watoto wengine wawili wa wazazi haohao. Wanaweza kuwa wa jinsia na maumbile tofauti kabisa.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Habari yako rafiki? Natumaini uko salama na unafurahia siku yako. Leo nitazungumzia suala linaloh...
Read More
Kila siku, tunaishi katika jamii ambayo ina maadili na kanuni za kufuata katika uhusiano wa ngono...
Read More
Je, kuna haja ya kuzungumzia historia ya ngono/kufanya mapenzi ya kila mmoja katika uhusiano? Jib...
Read More
Kama unatafuta njia za kufurahisha msichana na shughuli za kujenga timu, basi umefika mahali pazu...
Read More
Unapokwenda kwenye tarehe ya kwanza na msichana, ni muhimu sana kufikiria njia za kufanya tarehe ...
Read More
Wakati mwingine kuwa na muonekano tofauti na watu wengine
huvuta udadisi. Na hasa tukikumbuk...
Read More
Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi ...
Read More
Karibu tena kwenye blogu yetu ya mapenzi. Leo tutaangazia swali linaloulizwa mara kwa mara kuhusu...
Read More
Katika mazingira fulani, baba anapomuona mtoto ana ngozi
nyeupe anakataa ya kwamba mtoto si ...
Read More
Wewe ni mpenzi mzuri na unapenda msichana wako kwa dhati. Lakini je, unamwonyesha upendo kila sik...
Read More
Habari za leo wapenzi wangu! Nami nina furaha sana kuwa hapa leo kuongelea kuhusu swala la ngono ...
Read More
Kujenga ukaribu wa kiroho na msichana katika uhusiano ni jambo muhimu sana. Uhusiano wa kimapenzi...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!