Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Mume alichomjibu mchepuko wa mke wake

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

😎 Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje,

Si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua.πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

*Mniache mimi sipendi Ujinga Ujinga πŸƒοΏ½πŸƒοΏ½πŸƒοΏ½πŸƒ

AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ David Sokoine Guest Jun 30, 2019
Huu ucheshi hauna kifani! 🀣πŸ”₯
πŸ‘₯ Lydia Mutheu Guest Jun 27, 2019
Hii ni joke ya kipekee sana! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Wilson Ombati Guest Jun 27, 2019
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Rose Waithera Guest Jun 12, 2019
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu sana! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Janet Sumaye Guest Jun 3, 2019
Nimecheka hadi nina furaha sana! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Shamsa Guest May 31, 2019
πŸ˜‚ Lazima nihifadhi hii!
πŸ‘₯ Benjamin Masanja Guest May 24, 2019
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Alice Mwikali Guest May 21, 2019
Kweli mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Paul Ndomba Guest May 20, 2019
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ŠπŸ˜…
πŸ‘₯ Lucy Mahiga Guest Apr 5, 2019
🀣 Hii kichekesho ni nzuri sana!
πŸ‘₯ Alex Nakitare Guest Apr 5, 2019
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! πŸ˜†πŸ‘
πŸ‘₯ Edward Chepkoech Guest Apr 3, 2019
πŸ˜‚ Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
πŸ‘₯ Rose Waithera Guest Apr 1, 2019
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣
πŸ‘₯ Diana Mumbua Guest Mar 29, 2019
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Betty Kimaro Guest Mar 8, 2019
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! πŸ˜†πŸ˜„
πŸ‘₯ Edwin Ndambuki Guest Mar 3, 2019
πŸ˜„ Kichekesho kamili!
πŸ‘₯ Richard Mulwa Guest Feb 10, 2019
πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Mwajabu Guest Jan 7, 2019
Lazima niihifadhi hii, ni kichekesho kali sana! πŸ˜†
πŸ‘₯ Ali Guest Jan 2, 2019
πŸ˜… Nilihitaji hii!
πŸ‘₯ Wilson Ombati Guest Dec 21, 2018
πŸ€£πŸ‘πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Charles Mrope Guest Dec 14, 2018
Ucheshi wa hali ya juu! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Andrew Mchome Guest Nov 5, 2018
Napenda jinsi mnavyofikiria! πŸ€”πŸ˜†
πŸ‘₯ Azima Guest Oct 6, 2018
Kama kawaida! Bado nacheka! πŸ˜„
πŸ‘₯ Rehema Guest Sep 16, 2018
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! β˜•πŸ˜†
πŸ‘₯ Halima Guest Aug 30, 2018
Hii ni kichekesho kali sana, ninashiriki na kila mtu! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Moses Kipkemboi Guest Aug 20, 2018
🀣 Hiyo twist mwishoni, ingawa!
πŸ‘₯ John Kamande Guest Aug 18, 2018
Hii imenifurahisha sana! 🀣😊
πŸ‘₯ Janet Sumaye Guest Jul 30, 2018
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ David Ochieng Guest Jul 9, 2018
πŸ˜‚ Ninaihifadhi hii!
πŸ‘₯ Grace Mushi Guest Jun 12, 2018
Wow, hizi kichekesho ni dhahabu kabisa! πŸ’°
πŸ‘₯ Neema Guest May 26, 2018
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! 🀣
πŸ‘₯ Stephen Mushi Guest May 20, 2018
Hii imenikuna hadi nina furaha sana! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Kenneth Murithi Guest May 2, 2018
πŸ˜† Hiyo punchline ilikuwa kali!
πŸ‘₯ Arifa Guest May 1, 2018
πŸ˜† Kali sana!
πŸ‘₯ Samuel Omondi Guest Apr 25, 2018
Kweli mna ucheshi wa kipekee! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Dorothy Mwakalindile Guest Apr 19, 2018
πŸ˜‚ Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
πŸ‘₯ Samuel Were Guest Apr 4, 2018
πŸ˜† Ninacheka sana sasa hivi!
πŸ‘₯ Lucy Mushi Guest Mar 21, 2018
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜ŠπŸ˜†
πŸ‘₯ Catherine Naliaka Guest Mar 17, 2018
Kweli mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ Makame Guest Mar 3, 2018
Hii ndio nilihitaji leo! Asante! 😜
πŸ‘₯ Rose Waithera Guest Feb 24, 2018
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ€£πŸ˜…
πŸ‘₯ Binti Guest Feb 21, 2018
πŸ˜„ Umeimaliza kabisa!
πŸ‘₯ Grace Majaliwa Guest Feb 6, 2018
Kila siku napenda jokes zenu! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Ramadhan Guest Feb 5, 2018
🀣 Sikutarajia hiyo!
πŸ‘₯ Joy Wacera Guest Feb 3, 2018
Hii imenikuna! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Josephine Nduta Guest Jan 6, 2018
🀣 Nalia kwa kicheko kweli!
πŸ‘₯ Diana Mumbua Guest Jan 4, 2018
Hii imenikumbusha enzi zile! πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Irene Makena Guest Dec 7, 2017
Huyu alikuwa na point! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Catherine Mkumbo Guest Nov 10, 2017
Hii imenipa furaha ya siku! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Anna Sumari Guest Nov 4, 2017
😁 Hii ni dhahabu!
πŸ‘₯ John Mwangi Guest Oct 31, 2017
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜„
πŸ‘₯ Grace Majaliwa Guest Oct 23, 2017
πŸ˜‚ Nacheka hadi nalia!
πŸ‘₯ Peter Mugendi Guest Oct 13, 2017
😁 Hii imenifanya siku yangu iwe bora!
πŸ‘₯ Lydia Mahiga Guest Sep 26, 2017
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ Alice Mrema Guest Sep 8, 2017
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†πŸ‘
πŸ‘₯ Mercy Atieno Guest Aug 26, 2017
Nimecheka hadi nina furaha sana! 🀣😊
πŸ‘₯ Husna Guest Aug 1, 2017
πŸ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
πŸ‘₯ Mwafirika Guest Jun 24, 2017
πŸ˜† Hiyo punchline!
πŸ‘₯ John Lissu Guest May 21, 2017
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜Š
πŸ‘₯ Grace Minja Guest May 15, 2017
Hii ni ya kufurahisha! πŸ˜„πŸ˜…

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About