Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Cheki huyu mzee alichomfanyia muuzaji wa pharmacy

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja; MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili? MFAMASIA: Kama chumvichumvi MZEE: Hakuna sukari MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Mariam Kawawa Guest Sep 29, 2021
Kama kawaida! Bado nacheka! πŸ˜„
πŸ‘₯ Salima Guest Sep 20, 2021
πŸ˜„ Sikutarajia hiyo ikitokea!
πŸ‘₯ Esther Nyambura Guest Sep 8, 2021
Hizi jokes ni za kipekee sana! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Janet Wambura Guest Aug 23, 2021
Hii imenikuna! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Stephen Kangethe Guest Aug 22, 2021
Hii joke ni ya kufurahisha! 🀣🀣
πŸ‘₯ Agnes Sumaye Guest Aug 20, 2021
πŸ€£πŸ‘πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Lucy Mahiga Guest Jul 25, 2021
Hii ni joke ya maana sana! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Amina Guest Jul 10, 2021
Hii kichekesho imenifurahisha sanaβ€”imebamba! 🀣
πŸ‘₯ John Malisa Guest Jun 30, 2021
Wow, hii kichekesho ni mshindi kamili! πŸ†
πŸ‘₯ Wilson Ombati Guest Jun 24, 2021
πŸ‘πŸ€£πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Janet Mbithe Guest Jun 23, 2021
πŸ˜† Naihifadhi hii!
πŸ‘₯ Violet Mumo Guest Jun 14, 2021
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ€£πŸ˜‚
πŸ‘₯ John Mushi Guest May 18, 2021
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joseph Kiwanga Guest May 18, 2021
Kweli mnajua kuchekesha! πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Peter Mwambui Guest May 17, 2021
Hizi jokes zinabamba sana! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Francis Njeru Guest May 15, 2021
Huyu alikuwa na point! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Martin Otieno Guest Apr 27, 2021
πŸ˜… Ilibidi nishiriki hii na kila mtu!
πŸ‘₯ Majid Guest Apr 26, 2021
πŸ˜‚ Siwezi kusubiri kushiriki hii!
πŸ‘₯ Isaac Kiptoo Guest Apr 3, 2021
Hii kichekesho inastahili tuzo! πŸ†
πŸ‘₯ Shabani Guest Mar 15, 2021
πŸ˜„ Umenishika vizuri!
πŸ‘₯ Catherine Mkumbo Guest Mar 3, 2021
πŸ˜†πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜„
πŸ‘₯ Sarafina Guest Feb 23, 2021
🀣 Hiyo twist mwishoni, ingawa!
πŸ‘₯ David Chacha Guest Feb 22, 2021
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣
πŸ‘₯ Andrew Mchome Guest Feb 19, 2021
πŸ˜… Bado ninacheka!
πŸ‘₯ Mary Sokoine Guest Jan 28, 2021
Hii ni ya maana sana! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Henry Mollel Guest Jan 26, 2021
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Dorothy Nkya Guest Jan 24, 2021
Hizi jokes zinanifanya nicheke kila siku! πŸ˜„πŸ˜†
πŸ‘₯ James Kimani Guest Nov 19, 2020
Hii imenikumbusha enzi zile! πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Mariam Hassan Guest Sep 21, 2020
Hii imenifurahisha hadi ninacheka kwa sauti! πŸ˜„πŸ˜…
πŸ‘₯ Esther Cheruiyot Guest Sep 18, 2020
Hii ni dhahabu ya vichekesho! πŸ˜„
πŸ‘₯ Joyce Aoko Guest Sep 10, 2020
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! β˜•πŸ˜†
πŸ‘₯ Diana Mallya Guest Aug 28, 2020
πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Victor Sokoine Guest Aug 22, 2020
Hii ni kali kabisa! Siwezi kushiba! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Khadija Guest Aug 12, 2020
πŸ˜† Hiyo punchline ilikuwa kali!
πŸ‘₯ Fredrick Mutiso Guest Jul 2, 2020
Ucheshi wa hali ya juu! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Margaret Anyango Guest May 10, 2020
Nimecheka hadi mbavu zinauma πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joyce Nkya Guest May 5, 2020
πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜Š
πŸ‘₯ Stephen Amollo Guest May 3, 2020
Nimecheka hadi machozi 🀣😭
πŸ‘₯ Alice Mrema Guest Apr 27, 2020
Hii imenifurahisha kweli! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joyce Nkya Guest Apr 22, 2020
πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Abubakar Guest Apr 18, 2020
πŸ˜‚ Nimeipenda kabisa hii!
πŸ‘₯ Athumani Guest Apr 10, 2020
πŸ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
πŸ‘₯ Wilson Ombati Guest Apr 7, 2020
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! 😁
πŸ‘₯ Mwakisu Guest Apr 5, 2020
Lazima nikumbuke hii kwa baadaye! πŸ˜†
πŸ‘₯ Zainab Guest Mar 24, 2020
πŸ˜† Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Lydia Mutheu Guest Mar 22, 2020
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜‚πŸ˜†
πŸ‘₯ Anna Mahiga Guest Mar 7, 2020
πŸ˜… Nilihitaji kicheko hicho!
πŸ‘₯ Anna Sumari Guest Feb 24, 2020
Nitaeleza hii kwa marafiki zangu bila shaka! πŸ˜„
πŸ‘₯ Lucy Wangui Guest Feb 15, 2020
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜Š
πŸ‘₯ Stephen Mushi Guest Jan 25, 2020
Hii imenikuna hadi nina furaha! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Catherine Mkumbo Guest Jan 6, 2020
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Sarah Mbise Guest Dec 24, 2019
πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Diana Mumbua Guest Dec 24, 2019
πŸ˜† Nacheka hadi chini!
πŸ‘₯ Joseph Mallya Guest Nov 29, 2019
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Nuru Guest Nov 26, 2019
πŸ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!
πŸ‘₯ Francis Mrope Guest Nov 15, 2019
πŸ˜† Hiyo punchline!
πŸ‘₯ Victor Kimario Guest Nov 13, 2019
🀣 Sikutarajia hiyo!
πŸ‘₯ Irene Makena Guest Nov 9, 2019
πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Richard Mulwa Guest Nov 6, 2019
Nimefurahia sana hii joke! πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ George Tenga Guest Nov 4, 2019
🀣 Hii kichekesho ni nzuri sana!

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About