Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Kilichompata huyu jamaa akiwa anaangalia mpira mechi kali na mke wake
β’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
WIFE: Baibie, yule ni nani? Ni Chris Brown?? HUSBAND: Yule ni Theo Walcott WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?
HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red Card inamaanisha mchezaji awache kucheza na atoke inje ya uwanja. WIFE: Oooooh! Inakaa kama traffic light! Yellow- Ilani na Red - Simama HUSBAND: Yeah yeah swity! Ndio hivyo. WIFE: Na je Green Card?? HUSBAND: Aaaah! Hakuna kitu kama hicho.
WIFE: Nataka Arsenal ishinde world cup. HUSBAND: [kimya] WIFE: Ni nani yule mzee anakaa kama Mr. Bean?? HUSBAND: Yeees swity, yule ni kocha wa Arsenal, anaitwa Arsene Wenger. WIFE: Oooooh! inamaanisha yule kocha mwengine ni Chelsea Wenger?? HUSBAND: [Kabadilisha channel]