Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Huyu bibi kweli kiboko, cheki alichofanya akiwa na babu

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.

Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.

Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/=

Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4.

Babu akagoma kulipa akasema aitiwe meneja.

Meneja akaja kuwasikiliza

Babu:Β " Kwanini bili ni kubwa hata kama ni hotel ya kisasa?"

Manager;"kuna maswiming puli, ya kisasa "

Babu;Β "Lakini hatukuyatumia"

Manager;Β "Ah ah ah. Lakini mungeweza kama mngetaka"

Babu:Β "Hata hivo bado haithamini kuwa laki 5"

meneja:Β "Pia Kuna waimbaji kutoka sauzi, Uganda , Congo"

Babu:Β "Lakini sisi hatukuwasikiliza"

Meneja:Β "Ndiooo. Lakini mngeweza kama mngetaka"

Babu;Β aka give up na kumwambia mkewe andika cheki uwape,,

Bibi akaandika akampa meneja.

Meneja anaangalia anaona sh. 50,000

Akashangaa na kusema. "VP mbona hamsini'"

Bibi akajibu "450,000 ya kulala na mimi"

Meneja akajibu; "Lakini sijalala"

Bibi :"ungeweza kama ungetaka"

AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 238

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Stephen Mushi Guest Feb 22, 2022
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ Sharon Kibiru Guest Feb 15, 2022
πŸ˜… Nilihitaji kicheko hicho!
πŸ‘₯ Charles Mchome Guest Feb 11, 2022
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Moses Mwita Guest Jan 6, 2022
πŸ˜† Naihifadhi hii!
πŸ‘₯ Grace Mligo Guest Dec 29, 2021
Mna talent ya jokes! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Alice Mwikali Guest Dec 26, 2021
πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Simon Kiprono Guest Nov 29, 2021
Hii imenifurahisha kweli! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Victor Sokoine Guest Nov 8, 2021
Umesema kweli! πŸ‘ŒπŸ˜‚
πŸ‘₯ Charles Mboje Guest Sep 22, 2021
Nimecheka hadi nimepata furaha! πŸ˜ŠπŸ˜†
πŸ‘₯ Edward Lowassa Guest Sep 20, 2021
Nimecheka hadi nina furaha sana! 🀣😊
πŸ‘₯ George Tenga Guest Sep 10, 2021
πŸ˜†πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ James Kimani Guest Aug 30, 2021
Ucheshi wenu unanifurahisha! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Samuel Were Guest Aug 23, 2021
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! πŸ˜†πŸ˜„
πŸ‘₯ Anthony Kariuki Guest Aug 12, 2021
πŸ˜‚ Siwezi kusubiri kushiriki hii!
πŸ‘₯ Edward Chepkoech Guest Jul 27, 2021
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜„
πŸ‘₯ Issack Guest Jul 25, 2021
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka na hii!
πŸ‘₯ Agnes Sumaye Guest Jun 24, 2021
🀣 Hii imenigonga vizuri!
πŸ‘₯ Tabu Guest Jun 17, 2021
😁 Hii imenifanya siku yangu iwe bora!
πŸ‘₯ Samuel Were Guest Jun 12, 2021
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ Patrick Akech Guest Jun 11, 2021
πŸ˜„ Sikutarajia hiyo ikitokea!
πŸ‘₯ Salma Guest May 18, 2021
Hii kichekesho inastahili tuzo! πŸ†
πŸ‘₯ Francis Mtangi Guest Apr 24, 2021
Kweli ni jokes za ukweli! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Elijah Mutua Guest Apr 3, 2021
Asante Ackyshine
πŸ‘₯ Bernard Oduor Guest Mar 29, 2021
Haha, mbavu zangu zinauma kwa kucheka sana! 🀣
πŸ‘₯ Lydia Mzindakaya Guest Mar 17, 2021
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜…πŸ˜Š
πŸ‘₯ Edward Chepkoech Guest Mar 3, 2021
Napenda jinsi mnavyofikiria! πŸ€”πŸ˜†
πŸ‘₯ Nahida Guest Feb 24, 2021
πŸ˜‚ Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!
πŸ‘₯ Grace Wairimu Guest Feb 5, 2021
Hii ni joke ya maana sana! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Nancy Komba Guest Jan 30, 2021
πŸ˜„ Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
πŸ‘₯ Nora Kidata Guest Jan 1, 2021
πŸ˜†πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜„
πŸ‘₯ Tabu Guest Dec 19, 2020
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! πŸ˜…
πŸ‘₯ Vincent Mwangangi Guest Dec 9, 2020
Kweli mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Josephine Nduta Guest Nov 25, 2020
Hii ni joke ya ukweli kabisa! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Dorothy Mwakalindile Guest Nov 7, 2020
Hii ni kali sana! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Tabu Guest Oct 24, 2020
Hii ni dhahabu ya vichekesho! πŸ˜„
πŸ‘₯ Salum Guest Sep 24, 2020
🀣 Ujuzi wa hali ya juu!
πŸ‘₯ Nicholas Wanjohi Guest Sep 4, 2020
πŸ˜‚ Ninahitaji kuihifadhi hii milele!
πŸ‘₯ Monica Adhiambo Guest Aug 30, 2020
Umetisha! πŸ‘ŒπŸ˜‚
πŸ‘₯ Ruth Mtangi Guest Aug 26, 2020
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†
πŸ‘₯ Elizabeth Mtei Guest Aug 17, 2020
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜ŠπŸ˜…
πŸ‘₯ Benjamin Kibicho Guest Jul 20, 2020
πŸ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!
πŸ‘₯ Jacob Kiplangat Guest Jul 8, 2020
Mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Fikiri Guest Jul 4, 2020
πŸ˜„ Umenishika vizuri!
πŸ‘₯ Lucy Mahiga Guest Jul 4, 2020
πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ James Kimani Guest Jun 1, 2020
πŸ˜† Ninakufa hapa!
πŸ‘₯ Agnes Sumaye Guest May 25, 2020
Nimecheka kwa sauti! 🀣🀣
πŸ‘₯ Michael Mboya Guest May 12, 2020
Hii ni ya maana sana! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Agnes Sumaye Guest May 10, 2020
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ€£πŸ˜‚
πŸ‘₯ Peter Mugendi Guest Apr 17, 2020
🀣 Hii kichekesho ni nzuri sana!
πŸ‘₯ Janet Mwikali Guest Apr 11, 2020
Hizi jokes zinabamba sana! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Jackson Makori Guest Mar 25, 2020
Nimecheka hadi mbavu zinauma πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joy Wacera Guest Mar 19, 2020
Hii ni joke ya kufurahisha sana! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Joseph Mallya Guest Mar 15, 2020
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†πŸ˜…
πŸ‘₯ Farida Guest Mar 3, 2020
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! πŸŽ‰
πŸ‘₯ Fadhila Guest Feb 28, 2020
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Peter Mugendi Guest Jan 30, 2020
Hizi jokes ni za ukweli! πŸ˜†πŸ‘
πŸ‘₯ Mercy Atieno Guest Jan 15, 2020
Hii imenikuna! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Anthony Kariuki Guest Jan 6, 2020
Kweli mnajua kuchekesha! πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Catherine Naliaka Guest Dec 24, 2019
Nimefurahia hii sana! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Elizabeth Mrema Guest Dec 3, 2019
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About