Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
Bangi si mchezo! Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti! then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
NDOA sio kichaka cha kujificha kukimbia matatizo. NDOA sio mahali pa kutolea mkosi. Wala sio mahali pa kupunguzia shida. Ndoa sio mbadala wa elimu na β¦
Neno kwaresma ni neno la kilatini liitwalo Quadragesima maana yake ni arobaini(40). Mpenzi msomaji, katika maisha ya kikristo kuna kipindi cha siku 40β¦
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbalnami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayewezakukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpeβ¦
VIAMBAUPISHIUnga 6 VikombeSukari ya kusaga 2 vikombeSiagi 500 gmBaking powder 1 Kijiko cha chaiKastadi Β½kikombeMAPISHIKoroga siagi na sukari katika maβ¦
Wanaume wenye kushinda vishawishi ni;Wanaume ambao mnaweza kula wali hadi mwisho bila kugusa nyama nyie ndio mnaweza kushinda vishawishiπ€£π€£π€£π€£π€£πββπββπβββ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate