Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha!
MKE; Vipi leo mbona mpole?
MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa.
MKE; Ilikuaje wewe ukapona?
MUME; Nilikua chooni jirani na ofisi najisaidia.
MKE; Loh maskini, familia zao itakuaje?
MUME; Watalipwa million 100 kila mfiwa.
MKE; KWA HASIRA, Ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela.. Ungeenda kunya akhera.
Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha! MKE; Vipi leo mbona mpole? MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa. MKE; Ilikuaje wewe ukapona? MUME; Nilikua chooni jirani na ofisi najisaidia. MKE; Loh maskini, familia zao itakuaje? MUME; Watalipwa million 100 kila mfiwa. MKE; KWA HASIRA, Ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela.. Ungeenda kunya akhera.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshaharaβ¦.. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshβ¦
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!.. Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwβ¦
Kuwa na nywele zenye afya nzuri ni muhimu kwa wote bila kujali jinsi, hali hii husababisha wengi kutumia madawa ya aina mbalimbali ya kuhakikisha nyweβ¦
Kuamka asubuhi na mapema hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata saratani ya matiti.Kulingana na shirika la habari la BBC,wataalamu wa chuo kikuu cha Bβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate