Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi kuna vita! chefuuuu π³π³π³π³π³
πππππππππ
Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi kuna vita! chefuuuu π³π³π³π³π³πππππππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;Kudhibiti wadudu (mtego).Maharage yanaweza kupandwa kati ya mistari ya kabichi yakiwa kamβ¦
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanzaβ¦
MahitajiUnga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)Yai (egg 1)Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai)Hiliki (ground cardamon 1/β¦
MKE NA MCHEPUKO.Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate