Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana."
Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"
Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti."
Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!"
Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"
Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana." Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!" Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti." Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!" Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu. Uaminifu ni ishara ya Upendo na tunda la uvumilivu Uaminifu ni alama ya ushirika na Umoja Upeβ¦
Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntβ¦
β’ Maziwa ya mama pekee ndio chakula na kinywaji cha mtoto bora zaidi kwa watoto kwa miezi sita ya kwanza.β’ Ni jambo la muhimu sana kunyonyesha watoto β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate