Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!
. .
NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!..NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
π¬
Discussion
Share a thoughtful comment or reply. Content is escaped before display.
Mwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo. Alikuwa akimpenda sana. Siku moja mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi. Kidogokidogo alianza kupoteza urembo β¦
Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..1. Usimpige.2. Usimtukane na kumshushia heshima. 3. Usimfanye ajihisi hapendwi na anamkosi.4. Usimbβ¦
VIPIMO:Unga wa VishetiUnga 4 Vikombe vya chaiSiagi 1 Kikombe cha chaiHiliki Β½ Kijiko cha chaiNAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA1. Tia unga kwenye bakuli pβ¦
Kaswende husababishwa na bakteria aitwaye Treponema pallidum , ambaye pia huitwa spirochetes kutokana na umbo lake la mzunguko. Viumbe hawa hujipenyezβ¦
Discussion
Share a thoughtful comment or reply. Content is escaped before display.