Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana.
Mama: Asanteni sana, sasa niwe nampa mara ngapi?
Dokta: Unatakiwa wewe uwe unakunywa vidonge hivi kutwa mara tatu kwa mwezi mzima, mumeo atapona.
Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana. Mama: Asanteni sana, sasa niwe nampa mara ngapi? Dokta: Unatakiwa wewe uwe unakunywa vidonge hivi kutwa mara tatu kwa mwezi mzima, mumeo atapona.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Nafsi yangu inafurahia ya kwambawewe ndio chaguo langu, ubavu wangutabasamu usoni mwangu ndio siri yapendo lako kwangu Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Uβ¦
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka hakuchinji aβ¦
MIKUNJO katika ngozi ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanawake wengi.Tofauti na mikunjo ya uzee, mikunjo hii hutokana na kuchoka kwa ngozi kunaβ¦
Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.Kitale katikati yake ukilβ¦
HAHAHAHAHAAAAAA DUH TAMAA MBAYAMuokota makopo katika uokotaji wake wa makopo akaona chupa ambayo ndani kuna ki2, alipoifungua likatoka jitu la ajabu. β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate