Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?β¦.Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka β¦majimaji yaliyomo kwenye
kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;
MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili?
MFAMASIA: Kama chumvichumvi
MZEE: Hakuna sukari
MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa
MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?β¦.Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka β¦majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja; MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili? MFAMASIA: Kama chumvichumvi MZEE: Hakuna sukari MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
238 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Eti kati ya MAMBA na KIBOKO nani kiboko???ππππMi naona MAMBA ndo kiboko!π³Ujinga mbele kwa mbeleπππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweliusio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyonimwangu nimeridhiaβ¦ .nakupenda daima mpenβ¦
Vijana mkiwa mnaendesha magari mna post mukiwa mpo beach mna post mkiwa kwenye masherehe mna post Lakin mkiwa mmeenda kwa mganga siwaoni kupost mitungβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate