Ka ni wewe?
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.
BABA: Kwanini unasema hivyo?
DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.
ungekua wewe ungemjibu nini
Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo? DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya. ungekua wewe ungemjibu nini
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ukwaju ni tunda maarufu sana ambalo hupatikana katika maeneo yenye uoto wa kitropiki. Kwa kingereza hujulikana kama tamarind, na kwa kitaalamu (botaniβ¦
Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani. Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walalβ¦
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanzaβ¦β¦.4. Kaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate