Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kaziππ

π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
240 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporuβ¦
Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;Loweka lozi 5 mpaka 6 kwenye kikombe cha maji kwa usiku mmojaAsubuhi mβ¦
Karanga ni muhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa iwapo utajua faida zake kama nitakavyokujuza leo β¦
βTiba kwa kutumia majiβπ§π§π§π§π§π§π§π§π§Hamuwezi kuamini! maradhi mengi Mwenyezi Mungu amejaalia tiba yake ni kunywa maji, shukrani zote ni zake..Umoja wa Matβ¦
Muumbaji wa penseli alipomaliza kuiumba penseli yake aliiambia mambo muhimu ya kuzingatia ili iweze kuwa penseli bora kabla hajaituma kuingia kazini kβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate