Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani
Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu
Boy: kama ni hivyo sawa nilikuwa nataka nikufanyie sapraiz nimekununulia BLACKBERRY.
Girl: oh ucjal ntakuja na hata ntalala huko huko
Boy: na haruc je?
Girl: nilikuwa nakutania
Boy: hata mi nilikuwa nakutania
Phone call gal: hellow Boy: sweety mambo vipi? Girl: poa Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu Boy: kama ni hivyo sawa nilikuwa nataka nikufanyie sapraiz nimekununulia BLACKBERRY. Girl: oh ucjal ntakuja na hata ntalala huko huko Boy: na haruc je? Girl: nilikuwa nakutania Boy: hata mi nilikuwa nakutania
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kutumia mtindi na asali ni moja ya dawa rahisi zaidi za kutibu chunusi.Unahitaji:a)Kijiko kimoja cha asalib)Kijiko kimoja cha mtindiHatua kwa hatua naβ¦
Mungu ni mwenye haki, mpenda haki na mtenda haki. Unapoenenda kwa haki na yeye ataipigania haki yako. Melkisedeck Leon Shine Mungu ni Mwenye Haki, Mpeβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate