JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali",
Wakapiga magotiβ¦:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emenβ¦
MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko.
MUME: Emenβ¦
MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe.
MUME: Kimyaβ¦
MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana.
MUME: β¦β¦.!!
MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe.
Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali", Wakapiga magotiβ¦: MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake. MUME: Emenβ¦ MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko. MUME: Emenβ¦ MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe. MUME: Kimyaβ¦ MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana. MUME: β¦β¦.!! MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali. MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu walokole wewe!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.β¦
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza "kwanini unacheka unβ¦
Mapokeo kuhusu Bikira Maria yanaonyesha alikuwa binti pekee wa wazee watakatifu Yohakimu na Ana. VilevileMt. Yosefu, ingawa kisheria alikuwa mume wakeβ¦
Pale unapokuwa umefulia sanaβ¦Mgeni anakutembelea Maskani kwakoβ¦.Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chβ¦
Kurani inamtaja mwanamke mmoja tu, tena mara 34: ni Mariamu, mama wa nabii Isa. Akichanganywa na dada wa Haruni na Musa, aliyekuwa na jina hilohilo, aβ¦
Kwa ajili afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho na madini yote kama vitamini na protini. Mama mjamzito aβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate