1. Matayarisho ya vipaji 2. Sala ya Ekaristi 3. Ibada ya Komunyo
Liturujia ni nini?
Liturujia ni tendo la Kristo mwenyewe na Kanisa la kumtukuza na kumwabudu Mungu Baba; na hivyo kutekeleza fumbo la Wokovu kwa kuwatakasa watu
Liturujia ina nafasi gani katika Kanisa?
Liturujia ambayo ni tendo takatifu kuliko yote ndiyo chemichemi ambayo nguvu ya uhai wa Kanisa inabubujika na Kristo anaendeleza Kazi ya Ukombozi wetu
Katika liturujia waamini wanafanya nini?
Katika Liturujia waamini wanashiriki kwa matendo na kwa Ibada adhimisho lote yaani sala, nyimbo na matendo yote ya Ibada; na asiposhiriki matendo hayo kikamilifu, anakosa mafao kamili ya neema ipatikanayo katika Ibada hiyo.
Kilele cha Liturujia ni nini?
Kilele cha liturujia ni Sadaka Takatifu ya Misa
Kwa namna gani Mungu Baba ndiye asili na lengo la Liturujia?
Mungu Baba ndiye asili na lengo la Liturujia kwa sababu katika liturujia anatujaza Baraka zake katika Mwanae Yesu Kristo, naye anatumiminia Roho Mtakatifu mioyoni mwetu
Katika Liturujia Roho Mtakatifu anatenda nini kuhusiana na Kanisa?
Katika Liturujia Roho Mtakatifu analiandaa Kanisa likutane na Bwana wake
Ni nani hupanga Taratibu za Liturujia?
Mama Kanisa ndiye mwenye kupanga taratibu zote za Liturujia Katika mwaka mzima.
Huu mpango huitwa mwaka wa kanisa
Katika mwaka wa kanisa tunakumbuka nini?
Katika Mwaka wa Kanisa tunakumbuka natunaadhimisha matukio na mafumbo yote ya ukombozi wetu na hivyo twapata neema zake
Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zipi?
Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zinazohusiana na uumbaji, maisha ya binadamu na historia ya wokovu; nazo ni;
mwanga,
maji,
moto,
kuosha mikono/kupaka mafuta
kumega mkate,
kuwekea mikono n.k
Nani huadhimisha Liturujia?
Liturujia iliyo kazi ya Kristo Kuhani Mkuu na kichwa cha Kanisa huadhimishwa na kusanyiko lote, kila mmoja kulingana na kazi yake.
Liturujia inaadhimishwa wapi?
Liturujia inaadhimishwa pale waamini walipokusanyika kwa lengo hilo; kwa sababu Ibada katika Roho na Kweli ya Agano Jipya haifungwi na mahali fulani tuu, kwani dunia yote ni Takatifu
Liturujia Ifanyike mahali pa namna gani?
Liturujia ifanyike mahali palipoandaliwa vizuri iwezekanavyo kwa kuwa katika tendo la Ibada tunakutana na Mungu
Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vingapi?
Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vitano ambavyo ni;
1. Majilio = Majuma manne 2. Noeli = Kuzaliwa hadi Epifania 3. Kwaresma = Majuma sita na Juma Kuu 4. Pasaka = Siku ya Pasaka hadi Pentekoste 5. Kipindi cha mwaka majuma 34
Majilio ni nini?
Majilio ni kipindi cha Dominika nne cha kujiandaa na Sherehe ya Kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo, yaani NOELI.
Kinawakilisha karne zote za Agano la Kale
Kwaresma ni nini?
Kwaresma ni kipindi cha siku 40 cha kujiandaa kuadhimisha Sherehe kuu ya PASAKA yaani kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Tunajiandaa kwa Kufunga Kusali, Kutubu, na Matendo Mema.
Wakati wa kwaresma yawapasa waamini kufanya nini?
Waamini wanapaswa kujitakasa zaidi kwa;
kusali,
kufunga,
toba na
matendo mema
Kipindi cha Pasaka hudumu kwa siku ngapi?
Kipindi cha Pasaka hudumu kwa siku 50;
Yaani kuanzia Sherehe ya Pasaka hadi Sherehe ya Pentekoste
Siku za Dominika Kanisa huadhimisha nini?
Kila Dominika Kanisa Huadhimisha kumbukumbu ya Fumbo la Pasaka; Yaani;
Mateso, Kifo na Ufufuko wa wa Bwana, katika hali ya kutomwagika damu tena.
Kwa nini Jumapili inapaswa kuitwa siku ya Bwana au Dominika?
Jumapili inapaswa kuitwa Siku ya Bwana au Dominika kwa sababu ndiyo siku Bwana amefufuka Mshindi wa Dhambi na Mauti
Kipindi cha Mwaka ni nini?
Kipindi cha Mwaka ni kipindi cha kufurahi kuishi matunda ya ukombozi wetu
Sikukuu Kubwa Kupita zote Katika Kanisa ni ipi?
Sikukuu Kubwa Kupita zote Katika Kanisa ni PASAKA
Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi? Misa Takatifu ina sehemu kuu mbili 1. Litrujia ya Neno2. Liturujia ya Ekaristi Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu ngapi? Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu tatu 1. Matayarisho ya vipaji2. Sala ya Ekaristi3. Ibada ya Komunyo Liturujia ni nini? Liturujia ni tendo la Kristo mwenyewe na Kanisa la kumtukuza na kumwabudu Mungu Baba; na hivyo kutekeleza fumbo la Wokovu kwa kuwatakasa watu Liturujia ina nafasi gani katika Kanisa? Liturujia ambayo ni tendo takatifu kuliko yote ndiyo chemichemi ambayo nguvu ya uhai wa Kanisa inabubujika na Kristo anaendeleza Kazi ya Ukombozi wetu Katika liturujia waamini wanafanya nini? Katika Liturujia waamini wanashiriki kwa matendo na kwa Ibada adhimisho lote yaani sala, nyimbo na matendo yote ya Ibada; na asiposhiriki matendo hayo kikamilifu, anakosa mafao kamili ya neema ipatikanayo katika Ibada hiyo. Kilele cha Liturujia ni nini? Kilele cha liturujia ni Sadaka Takatifu ya Misa Kwa namna gani Mungu Baba ndiye asili na lengo la Liturujia? Mungu Baba ndiye asili na lengo la Liturujia kwa sababu katika liturujia anatujaza Baraka zake katika Mwanae Yesu Kristo, naye anatumiminia Roho Mtakatifu mioyoni mwetu Katika Liturujia Roho Mtakatifu anatenda nini kuhusiana na Kanisa? Katika Liturujia Roho Mtakatifu analiandaa Kanisa likutane na Bwana wake Ni nani hupanga Taratibu za Liturujia? Mama Kanisa ndiye mwenye kupanga taratibu zote za Liturujia Katika mwaka mzima. Huu mpango huitwa mwaka wa kanisa Katika mwaka wa kanisa tunakumbuka nini? Katika Mwaka wa Kanisa tunakumbuka natunaadhimisha matukio na mafumbo yote ya ukombozi wetu na hivyo twapata neema zake Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zipi? Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zinazohusiana na uumbaji, maisha ya binadamu na historia ya wokovu; nazo ni; mwanga, maji, moto, kuosha mikono/kupaka mafuta kumega mkate, kuwekea mikono n.k Nani huadhimisha Liturujia? Liturujia iliyo kazi ya Kristo Kuhani Mkuu na kichwa cha Kanisa huadhimishwa na kusanyiko lote, kila mmoja kulingana na kazi yake. Liturujia inaadhimishwa wapi? Liturujia inaadhimishwa pale waamini walipokusanyika kwa lengo hilo; kwa sababu Ibada katika Roho na Kweli ya Agano Jipya haifungwi na mahali fulani tuu, kwani dunia yote ni Takatifu Liturujia Ifanyike mahali pa namna gani? Liturujia ifanyike mahali palipoandaliwa vizuri iwezekanavyo kwa kuwa katika tendo la Ibada tunakutana na Mungu Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vingapi? Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vitano ambavyo ni; 1. Majilio = Majuma manne2. Noeli = Kuzaliwa hadi Epifania3. Kwaresma = Majuma sita na Juma Kuu4. Pasaka = Siku ya Pasaka hadi Pentekoste5. Kipindi cha mwaka majuma 34 Majilio ni nini? Majilio ni kipindi cha Dominika nne cha kujiandaa na Sherehe ya Kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo, yaani NOELI. Kinawakilisha karne zote za Agano la Kale Kwaresma ni nini? Kwaresma ni kipindi cha siku 40 cha kujiandaa kuadhimisha Sherehe kuu ya PASAKA yaani kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Tunajiandaa kwa Kufunga Kusali, Kutubu, na Matendo Mema. Wakati wa kwaresma yawapasa waamini kufanya nini? Waamini wanapaswa kujitakasa zaidi kwa; kusali, kufunga, toba na matendo mema Kipindi cha Pasaka hudumu kwa siku ngapi? Kipindi cha Pasaka hudumu kwa siku 50; Yaani kuanzia Sherehe ya Pasaka hadi Sherehe ya Pentekoste Siku za Dominika Kanisa huadhimisha nini? Kila Dominika Kanisa Huadhimisha kumbukumbu ya Fumbo la Pasaka; Yaani; Mateso, Kifo na Ufufuko wa wa Bwana, katika hali ya kutomwagika damu tena. Kwa nini Jumapili inapaswa kuitwa siku ya Bwana au Dominika? Jumapili inapaswa kuitwa Siku ya Bwana au Dominika kwa sababu ndiyo siku Bwana amefufuka Mshindi wa Dhambi na Mauti Kipindi cha Mwaka ni nini? Kipindi cha Mwaka ni kipindi cha kufurahi kuishi matunda ya ukombozi wetu Sikukuu Kubwa Kupita zote Katika Kanisa ni ipi? Sikukuu Kubwa Kupita zote Katika Kanisa ni PASAKA
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
50 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria? Sala bora kwa Bikira Maria ni Rozari Takatifu Kwa nini watu wengi wanaomba kwa β¦
Ili kuongeza mbegu za kiume zingatia haya yafuatayo;Kula lishe boraChakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vyaβ¦
VIAMBAUPISHIUnga 3 VikombeSukari ya unga (icing sugar) 1 KikombeSiagi 250 gmMayai 3Vanilla 2 Vijiko vya chaiBaking powder 1 Kijiko cha chaiJINSI YA KUβ¦
Kukosa hata mara moja inahesabika ni kukosea mbele ya Mungu. Kwa kuwa kwa Mungu hakuna kusema, 'Kukosea mara moja sio kosa bali kurudia kosa ndio kosaβ¦
Sala ni kuinua mioyo yetu kwa Mungu na kuongea nae. Watu wote wanapaswa kusali, wema na wabaya. Inatupasa kusali kila siku bila kukata tama kwa ibada,β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate