MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitakiβ¦.mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
MUME: Mke wangu naomba nikubusu MKE: Sitaki MUME: Ntakununulia pete ya gold MKE: Staki MUME: Ntakununulia gari MKE: Sitakiβ¦.mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtotoβ¦Mama simu ya baba imepokelewa na mβ¦
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miakaβ¦
Mdada alienda super-market kununuakuku, bahati mbaya kwenye frijkulikuwa na kuku mmoja tu, muuzajiakamtoa akamuweka kwenyemzani, akaonekana ana kilo mβ¦
BARUA YA BOSI ILIBADILI FIKRA ZANGU KUHUSU PESA KATIKA DAKIKA ZA MWISHO ZA MAISHA YANGUDuna Lawrence (78) ni raia wa Togo ambaye alijitosa kwenda nchiβ¦
Jinsi ya kupata mpenzi bora1_ lazima na wewe uwe bora kwanza2_ lazima na wewe ujiheshimu** 3_ kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwakβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate