Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!,
Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=.
Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?
Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui.
Na yeye akamuuliza Mzungu ni kitu gani kikienda juu kina miguu minne na kikirudi chini kina miguu mitatu?
Mzungu akafikiria akakosa jibu akatoa 100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua, akauliza ni nini hicho?
Mbongo akatoa 500 kuashiria hata yeye hajui!.
SHARE na marafiki kama umemkubali Mbongo kwa ujanja. Lakini unafikiri Mbongo huyu kwa akili hizi atakuwa ametokea mkoa gani!?.
Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!, Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=. Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia? Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui. Na yeye akamuuliza Mzungu ni kitu gani kikienda juu kina miguu minne na kikirudi chini kina miguu mitatu? Mzungu akafikiria akakosa jibu akatoa 100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua, akauliza ni nini hicho? Mbongo akatoa 500 kuashiria hata yeye hajui!. SHARE na marafiki kama umemkubali Mbongo kwa ujanja. Lakini unafikiri Mbongo huyu kwa akili hizi atakuwa ametokea mkoa gani!?.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
MahitajiViazi utamu 3Nyanya 2 kubwaKitunguuTangoLimaoChumviPilipiliMafuta (vegetable oil)MatayarishoMenya viazi na kisha vikate katika vipande. Tia maβ¦
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwanguakaanza kutafuta kitu kila kona ikabidna mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza nβ¦
Asali hutumika kulainisha NgoziAsali ina asili ya kuvuta unyevu kutoka kwenye hewa na kuipa ngozi uwezo wa kuhifadhi unyevu hivyo ni faida kwa mtu mweβ¦
Zuzu: Mambo Anna!Anna: Poa!Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyesheβ¦Anna: Kitu gan?Zuzu: Twende chumbani kwako (wakaenda)Anna: Haya nionyesheβ¦Zuzu: Funga mlβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate