John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka
watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto
wangu walee wanakwenda shule..
Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee,
Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi
yuleeeeeeeeβ¦. naenda kazini!! JE, NI KWELI
AMEPONA??
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto wangu walee wanakwenda shule.. Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee, Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi yuleeeeeeeeβ¦. naenda kazini!! JE, NI KWELI AMEPONA??
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Google alisema : mimi nina kila kituFacebook ikasema : mimi najua watu woteWhatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyiInternet akasema : hahaβ¦
Fangasi ya ukeni husababishwa na fangasi aina ya Candida albicans. Ugonjwa huu huitwa vaginal candidiasis kwa kiingereza na ni kati ya magonjwa ambayoβ¦
Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigiβ¦
Usiku Ni "utulivu" Usiku Ni "mzuri" Usiku Ni"upole" Usiku Ni "kimya" Lakini Usiku Haujakamilika Bila..Kukutakia Wewe.. U S I K U=m=w=e=m=a! Unaweza kuβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate