Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele.Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia.Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lakoKibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.kanisa zima hoi,
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!!Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-''YEAH NI TEMBA hapa auYEAH NI CHEGE haβ¦
MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!"MKE: "Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKIβ¦
Siri ni hii, Yesu ni Mwanga na Uovu ni giza. Giza na Mwanga havichangamani. Yesu hakai pamoja na uovu. Giza haliwezi kuzidi Mwanga. Uovu hauwezi kumziβ¦
Utangulizi Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama akifuata mapenzi yake. Tatizo ni kwamba watu wanafuata mapenβ¦
1.Kuwaimbia binadamu.Yaani tupo kwa ajili ya kuimba ili tusifiwe na watu.2.Kuimba bila tafakari.Mara nyingi tunaimba tu bila kuzingatia ujumbe Wa ule β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate