Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?
Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Nimezunguka pande zote za Tanzania machonikiyaangazakumsaka mrembowakumkabidhi wangu moyo wenye upendondani yake na kulilaTUNDA lakekwa nafasi huku niβ¦
Siku niliposoma hili andiko kwa mara ya kwanza nakumbuka, kwanza nilipata mshtuko flani baada ya kulisoma, halafu nikajikuta nikitafakari vitu vingi sβ¦
Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,mimi si βSupamaniβ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchinyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipβ¦
*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa*πππππJana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekβ¦
1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)Wakati alipokuwa akihojiwa na Mwandishi wa habari wa gazeti la #American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutowekβ¦
mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi niujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenziramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bilaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate