Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe paleunapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchunguwake ni zaidi ya shubiri je kwako yβ¦
Kama ni ubahili hapa umezidimdada Bby naomba hela nimpeleke mdogo wangu hospital kang'atwa na nyokaJAmaa embu mpe huyo nyoka cm niongee nae.. maisha yβ¦
Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisanipeke yake.Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wapili, akafanya ishara ya msalaba kisβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate