Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyowangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu nimachozi daima hayatokauka na wewe kwangu niβ¦
Unaonekana kungβara leo nilijuajeβ¦β¦.ni kwasababuunaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya.
MTOTO: Hivi Baba wewe umezaliwa wapi?????BABA: MbeyaMTOTO: Mama nae kazaliwa wapi????BABA: TangaMTOTO: Mimi jee?????BABA: DarMTOTO: Sasa tulikutanaje?β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate