MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaaliβ¦ mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama kweli. Naweza pata 'Laki Moja' ya karibu hapo nitarudisha mwisho wa mweziβ¦?πππππ
MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on MondayMSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaaliβ¦ mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama kweli. Naweza pata 'Laki Moja' ya karibu hapo nitarudisha mwisho wa mweziβ¦?πππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Akikuta PESA wakati anafua atapiga kimya kimya, sasa ngoja akute umeacha CONDOM ndo utajua kama umeoa KIPAZA SAUTI ππππππNdio maana mimi nafungaga conβ¦
Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesaβ¦Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huuβ¦..Wanavyopenda helaππππππππ
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu βSALMONELLAβ vinavyoweza kusababisha tumbo kuuma, kichefuchefu na pia kuharisha.Vijidudu yβ¦
Amri ya Kumi ya Mungu inakataza nini? Inakataza; 1. Uroho2. Uchu wa mali3. Kijicho4. Tamaa mbaya ya kujipatia mali Amri ya Kumi ya Mungu inaamuru niniβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate