Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kaziππ

π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
240 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Teacher: Who is a pharmacist?Shemdoe raised up his hand.Teacher: So itβs only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? So there is no β¦
Ili kuongeza mbegu za kiume zingatia haya yafuatayo;Kula lishe boraChakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vyaβ¦
Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimβ¦
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate