Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele.Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia.Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lakoKibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.kanisa zima hoi,
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Familia Kwanza: Wasichana wawili waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao.Hiki ndo kitu ambacho Mwenyekiti wa kβ¦
Mwalimu aliuliza swali "Kwanini watu wanapenda MAPENZI kuliko VITA? Mwanafunzi mmoja akajibu:- "Kwa sababu CONDOM ni bei rahis kuliko BUNDUKI. Wanafunβ¦
Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupuβ¦Nikaamua kuvaa glovesβ¦Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni.πβ¦
Nilikuwa naangalia mpira wa miguu katika uwanja washule.Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya Matokeo ya mchezo.Kwa tabasamu, alijibu "Wako mbeleβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate