1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.







anashindwa::kukuamini::
ety we binti wambeya :kwanini huniamini: nakupenda mwenzako
ΒΏ? ΒΏ?
""uleo nimaji yabalidi
nawewe ndugu yangu mpende sana mamayako mana yeye ndo kafanya mimi nawewe tukajuana muheshim mamayako haijalishi yuko vp kabra hujawaza kumzalau mama yako fikilia kwanza amekubeba tumboni myezi 9 mkumbuke kwaicho kdogo ulichopata mana hata yeye kipindi uko mdogo hakuweza kula paka uliposhiba wewe
hakuvaa nguo nzuri paka ulipo pendeza wewe hakulala usiku paka ulipo lala wewe nabado haikutosha miguu yake ukaifanya ndo choo chako mapajayake ukayafanya kiti chako mgongo wake ukaufanya gari lako lausafiri kila alipo upo nabado haikutosha akajifunya lugha yako yautotoni isioeleweka ir unapoongea ajue unahitaji nini akawa kama kichaa kukuchezesha iri usilie kukuongeresha hali yakuwa huongei ili ujuwe lugha sahihi paka leo umesimama amepitia meng mazito nandomana mama amepewa cheo kikubwa kwamtoto mama nimungu wapili baba asingeweza mama akikupa ladhi hutofanikiwa maisha yako yote nawenda ukawa chizi kabisa
ABU menn by
waTanzania tutenguege kauri utakuta mtu anajita msimamizi wakati mda wote amekaa oficini sasa wewe nimsimamizi au mkalizi hahaha
abu meenn by
WA vita
familiya ya mzee MAANDANO na
bibi MAUWAJI wanayo furaha kubwa kukualika kwenye sherehe yamtoto wao mpendwa aitwae KIFO anaetarajia kufunga ndoa nawewe MABOM NA RISASI yaliopo eneo lamtaani kwako tarehe 19 mwezi 12vinakukaribisha sana kwamaelezo zaidi KAZURURE SOKONI MITAANI NAMJINI hadi usiku UMAUTI WAKO ndiyo mafanikio yasherehe hiyo
ABU MENN BY
HAHAHA nyoote mnakaribishwaa
misimo
familiya ya mzee MAANDAMANO
NA bibi MAUWAJI wanayo furaha kubwa kukualika kwenye sherehe ya mtoto wao mpendwa aitwae KIFO anaetarajia kufunga ndoa nawewe
MABOM NARISASI NDO chakura chenu kilichopo eneo la mtaani kwako tarehe9mwezi12 tunakukaribisha sana kwa maelezo zaidi KAZURURE SOKONI MITAANI NAMJINI UMAUT WAKO NDO mafanikio ya sherehe hiyo
ABU MAHEMBE
menn by
hahaha misimo
"TANGAZO"
"JAMANI"
"ABU"
"NIMEPOTEA
"ATAKAENIONA
"ANIPE"TARIFA"
"MANA"
NIMESHAJITAFUTA
SANA"RAKINI"SIJIPATI"
ABU MAHEMBE ME by
nipe
taarifa sasa 0681305278
kwasasa wapendanao wameanza kuitana
my Pawa
| @
| <!>
| !!
| _/\_
|
|usione nikokimya
nawaza mwaka 2025 ndohuuwo unakatika HIVI SIKUDAIΒ‘! KWERI
fikilia vizur kama nakudai tuma kwahi namba kataa mataper 0681305278 abu ee by
kwasasa wapendanao wameanza kuitana
my Pawa
ABU MAHEMBE wote tujitokeze kwawing kumuunga mkono unatupia umu (0681305278)
jelo au buku au yoyote uliyonayo kikubwa inifikie kama mchango namimi takuuanga text live kwanjia ya sms namba yangu iyoapo nichek kwa text zaid kwasasa sitapost tena text yoyote umu nimechoka kufanya kaz bira maripo sasampa usinitafute nikuunge kama hauna kesh tuma buku kwenye namb hiyo nikuunge
nawapenda jamani ndoma had mnanijuwa jina wapo wanaopost lakn hajurikan hata kwajina sovizur best my text by tukutane live tuchat
KARIBU Tanzania
nchi yenye utajiri wamajungu
nchi yenye baraka za uwongo"""
nchi yenye wivu""Β‘
nchi yenye kiu ya umbea nchi ya unafki
ukipata pesa unalogwa ukifulia unachekwa ukiwaomba fanyakaz mwanangu mwanamke akinenepa unamimba ukikonda unaukimwi ukisafiri kwenda kutafuta amekimbia madeni ukikaatu! hana jipya hana nyuma wala mbele ukisimama napisi dakika5 anamtongoza hawajui kama nidadayako ukivaa vizur sharobaro ukivaa vibaya huyu maskin nimchafu ukilala nimvivu ukitembe mzurulaji sasa unaesoma ujumbe huu ukisikiliza maneno yawatu hutofanikiwa mana wanakaba paka pena naTanzania ndonchi pekee maskini hakusoma ira anailaum selekar naaliesoma anailam selekar et hana ajira wakat hata watumishi waselekar wameajiriwa sara huyu selekar nanani anaeajir wasomi mtafuteni selekar ABU_MAHEMBEbyme nicheki tubonge 0681305278
aliesoma anailaum selekar et hana ajira wakat hata watumishi waselekar wameajiriwa
sasa
huyu selekar ninani anaeajiri watu
wasomi mtafuteni anaeitwa selekar ndoanae ajir au kipnd anaajiri we ulikuwa wap
mi nakipaji chakuigiza lakin sija jua wap pakwenda kujiunga ili nitimize ndoto yangu yakuwa mwigizaji lakin iwe ni kahama au kagongwa naomba munielekeze ahsate
nilikua natafuta
mi nakipaji chakuigiza lakin sija jua wap pakwenda kujiunga ili nitimize ndoto yangu yakuwa mwigizaji lakin iwe ni kahama au kagongwa naomba munielekeze
nilikua natafuta Namba yangu ni 0717143163 AU 079502621
:utaskia akishavutaga :bangi ndoalivyo
yani waTanzania
mhh^_^
,umechoka unaskia
,mamayako anakwambia wewe? kamwangalie mtoto inje analia we unamjibu
aliaa_anashoto
".WAMBIE."
".BADO
NATAFUTA
|BINADAM MWENZAKE |KULIKO HATA LINAVO MUOGOPA MUNGU
IVI UNAAKIRI WEWE!!
"WEWE DADA WEWEKAKA UNAKUWA NAHOFU NABINADAM KULIKO HATA MUNGU UNAAKILI KWELI WEWE(%)
kumbe ujana unaliwa
uleo je?hauliwi
*ona leo nalipa kodi "malambili
"(ABU)SIDO)SAMIRU)SIDO
.linamchukia mtoa mimba :wakati nalenyewe linapiga nyeto ivi unaakili wewe sasa mpiga nyeto namtoa mimba wote sihali moja kasolo mkia
yako mwaka 2025 umetoka somo lauvivu
umepata .23.0%
kujituma .32%
kutukana .45%
utani .75%
upendo .27%
upole .1%
mapenzi .100%
sadaka .0.0%
ibada .5%
kaone usowake
yani yoote umeferi
somo lamapenz ndo umepata mia