Siri za mafanikio na Jinsi ya kufanikiwa
Tafuta fursa kila kona.Tumia kipaji chako.Kuwa na nidhamu katika fedha - matumiz...
Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara
HUWEZI KUFANIKIWA KIBIASHARA KAMA UNAPENDA KUJIHURUMIA HURUMIA!💥Mama mmoja Mzung...
Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
Ukitaka kuwa tajiri,hiki ndio kitu pekee unacho hitaji kukijua na kukifanyia kaz...
Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa ka...
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
Karibuni;1. Kununua Mashine za kukoroga zege nakukodisha.2. Kununua Mashine za k...
Una thamani gani?
Kazi au shughuli unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?unawasaidia au unawaum...
Ugumu wa maisha huanzia akilini mwako
Ebu fikiria Dada anayechoma mahindi maeneo ya Manzese Darajani kuanzia saa 12 ji...
Unashangaa kwa nini hufanikiwi?
Sikia haihitaji ukalishwe chini ndo uelewe, Ukweli ni kwamba unajishughulisha Sa...
Kushindwa au vikwazo sio sababu ya kutofanikiwa
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawish...
Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu1)Sina mtaji2)Sina Connection3)Nit...
Je, Wewe unayesoma huu ujumbe una ndoto?
KILA mtu duniani ana ndoto ingawa haijalishi ni ndoto gani uliyonayo.Ndoto uliyo...
Angalia jinsi maamuzi yako ya jana na ya leo yanavyoweza kukuathiri
Nimeitoa kwa Comrade Markus Mpangala na kuitafsiri kwa Kiswahili (kisicho rasmi ...
FURSA HAIJI MARA MBILI: Jinsi unavyoweza kupata faida au hasara ukitumia Nafasi au fursa uliyonayo
Kwenye maisha fursa moja tu inatosha kabisakubadilisha hali yako ya sasa na kuku...
Elimu ya biashara
Jifunze kujikagua, jifunze kujiuliza je hapa ndipo napotakiwa kuwa? Usifurahie t...
Uhusiano uliopo kati ya pesa na muda
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda..-Ndio maana nauli ya ndege ...
Ilinde ndoto yako
Ndoto ni nini?Ndoto ambayo tunakwenda kuizungumzia sio ndoto unayoota ukiwa umel...
Tabia za kuepuka ili uweze kuwa tajiri
"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hut...
Jipe moyo kamwe usikate tamaa
Nilikuwa naangalia mpira wa miguu katika uwanja washule.Nilipokaa, Nilimuuliza k...
Angalia utofauti wa mawazo ya maskini na tajiri
Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.Tajiri hudhani umaskini ni chanzo...
Kuwa na kawaida ya kujiwekea Akiba ni njia na Siri ya kuwa tajiri
Watu wengi wanajiuliza, “Siri ya utajiri ni nini?”Je ni mbinu gani zinaweza kums...
UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI
UJASIRIAMALINi uthubutu au ujaribu wa ufanyaji washughuli yoyote halali na kupit...
Nia yako isishindwe
...
Mambo ya kufanya mwezi Disemba
Ikiwa leo ni tarehe **1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoio...
Wewe ni mshindi: Mambo yakuzingatia ili uweze kushinda chochote katika maisha
Mshindi ni mtu aliyeshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kuwa umeshinda, kuwa hai l...
UKWELI KUHUSU MSHAHARA
1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ...
Hii ndio inaitwa mbinu ya biashara
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka🐈,ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basiw...
Angalia jinsi muda wako unavyopotea
Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa m...
Ushauri wangu kwa leo
Kuna watu wengi sana huwa wanani-challenge ninaposema kwamba ni muhimu sana mtu ...
Jifunze kitu kupitia kisa hiki cha boss na mwajiri wake
Duna Lawrence (78) ni raia wa Togo ambaye alijitosa kwenda nchini Ujerumani kuta...
Kanuni ya fedha ya matumizi na mipango ambayo itakusaidia ukiifuata
Jifunze kanuni za fedhakama ilivyoainishwa hapo chini.Fedha inatakiwa uwe na nid...
Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela
Ukimonyesha mtu fursa akakwambia hana hela mwambie hiyo ndio sababu ya wewe kumo...
Umeshawahi kufanya hili jaribio?
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwi...