Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii
Updated at: 2024-05-25 17:14:39 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 071112016 unafuraahi unaondoka unafika nyumbani unajaribu kuipiga but kabla hujapiga unagundua alikutajia tarehe ya leoย Wadada acheni hizoย ๐๐๐๐๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐
Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke
Updated at: 2024-05-25 16:59:33 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unakuwa waziโฆSisi kwa USTAARABU huwa tunaangalia pale PALIPOFUNIKWA..Hatutaki Dhambi za Kijinga kabisa Sisiโฆ
Updated at: 2024-05-25 17:54:01 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu, yalikua hivi:-
1.Jasho la nyoka. 2.Manyoya ya mende. 3.Sisimizi Shoga. 4.Mbwa mjane. 5.Kuku aliye single. 6.Samaki mwenye miaka miwili bila kuoga 7.Mti wenye ujauzito. 8.Mbavu za Nzi. 9.Nywele za Kiroboto. 10.Mwanya wa Mbu. Duuh..!! mwanangu kwa hali hii mbona itakula kwako. Wengine wanasemaga IGA UFE! Rizik anagawa Mungu tu shetan simuelew!
Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia
Updated at: 2024-05-25 17:05:23 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
โฆโฆโฆ Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamahaโฆ Ndugu yanguโฆ.. Msameheโฆ. Mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoaโฆ. iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yaoโฆโฆ Ondoa paa lote la nyumba yao halafu TOWEKAโฆ..
Updated at: 2024-05-25 18:12:42 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday
MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaaliโฆ mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama kweli. Naweza pata 'Laki Moja' ya karibu hapo nitarudisha mwisho wa mweziโฆ?๐๐๐๐๐
Updated at: 2024-05-25 18:11:06 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dem anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi,kufungua mlango akakuta ni jirani yake frank ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, dem kavua ile kanga akabaki uchi akainama akaanza kujipaka mafuta akijua frank hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..
DEM: VIPI FRANK MBONA UMEPOTEA YAANI HUONEKANI SIKU HIZI..?
FRANK: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!โฆ