Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti.
Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioni
Hivyo wanandoa wengi hili limekuwa tatizo mwanaume kiguu na njia asb mchana na njia kumuacha mama na watoto.
Nini kifanyike hasa weekenda Mwanaume ashinde NYUMBANI akikupumzikia??
Zipo njia nyingi mojawapo SUPU YA WEEKEND NA MAZUNGUMZO NA MKAO
Ni kweli wanawake wengi hamjuagi kuwakalisha waume home.
Anza hivi
Siku uko home wewe amka mapema kabla yake anza makeke jikoniā¦
Mara blenda priiiii⦠juice⦠ama milk shakeā¦. hahahaha..Utaona anasogea jikoni..
Wakati anakunywa juice ama milk shakeā¦Anza kukuna naziā¦
Chambua mnafuā¦
Hapo jikoni kuna kanyama kanachemka⦠katia kitunguu tupia viazi 2 na ndizi.Hahaha..
ile harufu ikianza kutoka utasikia anafuata maji jikoni⦠hahahaha kwenye friji⦠wala hatumi..
Hahaahha⦠utasikia nini kiko jikoni?Hahahaa.
Mmiminie supuā¦
Na ndizi mbili na kiazi kimoja kapilipili mbuzi pembeni..
Muulize kuna chapatiā¦Mpe.. hahahahaha..Akimaliza supu nakuapia atasinzia..
.Akishtuka ugali na mnafu na nyama umeivaā¦Mpe ale..Mshushie na glass ya mtindiā¦Hahahaha..
analewa full Hata kama kuna mama junior anaambiwa usipigeā¦
Hahahahahahaā¦.Baada ya hapo acha apumzike⦠aogeā¦
Kisha funga ka khanga kako kepesi jilaze pembeni.. woiiiiiiiii..
Mkimaliza muombe pesa ya sokoniā¦
NAKUAPIA HATA KAMA JANA YAKE ALIKUPA ATAKUPA TENA.
Hahahahaha.. jamaniā¦
Hahahahaha⦠yani kwa raha ya supu⦠nakuapia utaambiwa hata mama alipiga simu jana⦠hahahaha.. ama utasikia mamii.. njoo uone njoo⦠unaitiwa kitu cha kwenye tv.. hahaha.
Hata hujaona mwanzo ila kwa raha yakasupu utaitwaā¦
Hata kama huna kalio nakuambia utapigwa kibao hata cha mgongoā¦. hahahahahahahahahaha.
Sasa wewe unaamka chai na mkate kama chuo cha uhaziliā¦
Wali maharage kama jeshi la j