ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

Kisa cha kusisimua cha kijana na mke wake na mama yake

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… January 14, 2017πŸ’¬ 0 comments
πŸ—‚οΈ Baini Siri za Familia, Mapenzi na Mahusiano#Jifunze kuishi na Mke#Jinsi ya Kuishi na mke#Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#Jinsi ya Kuishi na Mke wako#Jinsi ya Kumpenda Mke wako#Jinsi ya Kumtambua Mke wako#Jinsi ya kumtunza mke#Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Jifunze kuishi na Mke#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na mke#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumpenda Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumtambua Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya kumtunza mke#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#KAMA UMEOA SOMA HII: Mbinu za Kiume#KAMA UMEOA SOMA HII: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#KAMA UMEOA SOMA HII: Mwanamme#KAMA UMEOA SOMA HII: Mwanaume#KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za Familia kwa Mwanamme#KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za ndoa kwa Mwanamme KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya kuwa mume#KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za Wanaume#KAMA UMEOA SOMA HII: Usiyoyajua kuhusu mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Wanaume#Karibu AckySHINE#KWA WANAUME TU: Jifunze kuishi na Mke#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na mke#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na Mke wako#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumpenda Mke wako#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumtambua Mke wako#KWA WANAUME TU: Jinsi ya kumtunza mke#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#KWA WANAUME TU: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#KWA WANAUME TU: Mbinu za Kiume#KWA WANAUME TU: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#KWA WANAUME TU: Mwanamme#KWA WANAUME TU: Mwanaume#KWA WANAUME TU: Siri za Familia kwa Mwanamme#KWA WANAUME TU: Siri za ndoa kwa Mwanamme KWA WANAUME TU: Jinsi ya kuwa mume#KWA WANAUME TU: Siri za Wanaume#KWA WANAUME TU: Usiyoyajua kuhusu mke wako#KWA WANAUME TU: Wanaume#Mahusiano: Mahusiano na Watu wanaotuzunguka#Mahusiano: Maisha ya Familia#Mahusiano: Makala kwa Mke na Mume#Mahusiano: Uchumba na Urafiki#Makala kwa wanaume#Makala za Jifunze kuishi na Mke#Makala za Jinsi ya Kuishi na mke#Makala za Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#Makala za Jinsi ya Kuishi na Mke wako#Makala za Jinsi ya Kumpenda Mke wako#Makala za Jinsi ya Kumtambua Mke wako#Makala za Jinsi ya kumtunza mke#Makala za Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#Makala za Makala za wanaume#Makala za Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#Makala za Mbinu za Kiume#Makala za Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#Makala za Mwanamme#Makala za Mwanaume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jifunze kuishi na Mke#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na mke#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na Mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumpenda Mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumtambua Mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya kumtunza mke#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mbinu za Kiume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mwanamme#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mwanaume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za Familia kwa Mwanamme#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za ndoa kwa Mwanamme MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya kuwa mume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za Wanaume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Usiyoyajua kuhusu mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Wanaume#Makala za Siri za Familia kwa Mwanamme#Makala za Siri za ndoa kwa Mwanamme Makala za Jinsi ya kuwa mume#Makala za Siri za Wanaume#Makala za Usiyoyajua kuhusu mke wako#Makala za wanaume#Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#Mbinu Kwa Kiume#Mbinu za Kiume#Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#Mwanamme#Mwanaume#Siri za Familia kwa Mwanamme#Siri za ndoa kwa Mwanamme Jinsi ya kuwa mume#Siri za Wanaume#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF#Usiyoyajua kuhusu mke wako#Wanaume🌐 Kiswahili
Kisa cha kusisimua cha kijana na mke wake na mama yake

Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda.

Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu. Alimwambia: moyo wangu unampenda mno binti niliyekwenda kumposa, lakini pia siwezi kuishi mbali na mama yangu. Nifanye nini?

Yule mwalimu mwenye hekima ambaye alikuwa anajua tabu alizopitia mama wa kijana yule, alimjibu kwa kumwambia: Kabla ya kukueleza uchague yupi kati ya wawili hao, rudi nyumbani, na leo usifanye chochote, ila kuikosha mikono ya mama yako. Yule kijana alifanya kama alivyotakiwa na mwalimu wake. Alipofika nyumbani aliomba idhini kwa mama yake amruhusu kuikosha mikono yake, na yule mama alimkubalia bila ya ajizi yoyote.

Yule kijana alipoanza kuikosha mikono ya mama yake na kuona jinsi ilivyogugutaa kwa kazi za sulubu, alilia sana. Muda wote huu alikuwa hajawahi kuangalia viganja vya mama yake. *Je, na wewe umewahi kukaa na kuangalia viganja vya mama au baba yako kuona tabu walizopitia kukulea?* Kumbe baba wa yule kijana alifariki dunia yeye akiwa bado mdogo, yule mama aliamua kusamehe kila kitu kwa ajili ya mustakbali wa mwanawe. Alijitolea kufanya kazi za sulubu. Alikubali kuwa mtumishi wa ndani, kukosha nguo, kupiga deki na kila kazi ambayo alihisi ingelimletea chumo la halali bila ya kujali ugumu wa jkazu hiyo.

Juhudi zake zilizaa matunda na kufanikiwa kumlea na kumsomesha mwanawe hadi chuo kikuu na sasa ni daktari ambaye ana mustakbali mzuri. Baada ya yule kijana kukumbuka yote hayo, alifanya haraka kumpigia simu mwalimu wake huku macho yakiendelea kububujikwa na machozi akimwambia, siwezi kusubiri hadi kesho. Jibu nimeshalipata. Siwezi kumtupa mama yangu kwa ajili ya mtu asiyejua thamani ya mama. Ahsante sana kwa kunionesha njia sahihi! Kamwe siwezi kumuuza mama yangu kwa ajili ya leo yangu wakati yeye ameuza maisha yake yote kwa ajili ya mustakbali wangu.
NANI KAMA MAMA?!? Maa! Tabasamu lako ni ufunguo wangu wa ofanisi.
Kama umeipenda.

Share kwa wengine ili nao wazinduke.

Download Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE
[products columns="2" ids="30827"]
βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.