ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

Jinsi ya kumfanya mwanamke afurahi na akupende kwa kumfanyia mambo anayoyataka

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… January 13, 2017πŸ’¬ 0 comments
πŸ—‚οΈ Baini Siri za Familia, Mapenzi na Mahusiano#Jifunze kuishi na Mke#Jinsi ya Kuishi na mke#Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#Jinsi ya Kuishi na Mke wako#Jinsi ya Kumpenda Mke wako#Jinsi ya Kumtambua Mke wako#Jinsi ya kumtunza mke#Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Jifunze kuishi na Mke#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na mke#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kuishi na Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumpenda Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumtambua Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya kumtunza mke#KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#KAMA UMEOA SOMA HII: Mbinu za Kiume#KAMA UMEOA SOMA HII: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#KAMA UMEOA SOMA HII: Mwanamme#KAMA UMEOA SOMA HII: Mwanaume#KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za Familia kwa Mwanamme#KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za ndoa kwa Mwanamme KAMA UMEOA SOMA HII: Jinsi ya kuwa mume#KAMA UMEOA SOMA HII: Siri za Wanaume#KAMA UMEOA SOMA HII: Usiyoyajua kuhusu mke wako#KAMA UMEOA SOMA HII: Wanaume#Karibu AckySHINE#KWA WANAUME TU: Jifunze kuishi na Mke#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na mke#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kuishi na Mke wako#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumpenda Mke wako#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumtambua Mke wako#KWA WANAUME TU: Jinsi ya kumtunza mke#KWA WANAUME TU: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#KWA WANAUME TU: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#KWA WANAUME TU: Mbinu za Kiume#KWA WANAUME TU: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#KWA WANAUME TU: Mwanamme#KWA WANAUME TU: Mwanaume#KWA WANAUME TU: Siri za Familia kwa Mwanamme#KWA WANAUME TU: Siri za ndoa kwa Mwanamme KWA WANAUME TU: Jinsi ya kuwa mume#KWA WANAUME TU: Siri za Wanaume#KWA WANAUME TU: Usiyoyajua kuhusu mke wako#KWA WANAUME TU: Wanaume#Mahusiano: Makala kwa Mke na Mume#Mahusiano: Makala kwa Wanaume#Mahusiano: Uchumba na Urafiki#Makala kwa wanaume#Makala za Jifunze kuishi na Mke#Makala za Jinsi ya Kuishi na mke#Makala za Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#Makala za Jinsi ya Kuishi na Mke wako#Makala za Jinsi ya Kumpenda Mke wako#Makala za Jinsi ya Kumtambua Mke wako#Makala za Jinsi ya kumtunza mke#Makala za Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#Makala za Makala za wanaume#Makala za Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#Makala za Mbinu za Kiume#Makala za Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#Makala za Mwanamme#Makala za Mwanaume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jifunze kuishi na Mke#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na mke#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na Mke kwa Amani#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kuishi na Mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumpenda Mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumtambua Mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya kumtunza mke#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya Kumuelewa Mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mbinu za Kiume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mwanamme#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Mwanaume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za Familia kwa Mwanamme#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za ndoa kwa Mwanamme MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Jinsi ya kuwa mume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Siri za Wanaume#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Usiyoyajua kuhusu mke wako#MAKALA ZA SIRI KWA WANAUME: Wanaume#Makala za Siri za Familia kwa Mwanamme#Makala za Siri za ndoa kwa Mwanamme Makala za Jinsi ya kuwa mume#Makala za Siri za Wanaume#Makala za Usiyoyajua kuhusu mke wako#Makala za wanaume#Mambo ya Msingi kufahamu kama mwanamme#Mbinu Kwa Kiume#Mbinu za Kiume#Mbinu za Ndoa Kwa Wanaume#Mwanamme#Mwanaume#Siri za Familia kwa Mwanamme#Siri za ndoa kwa Mwanamme Jinsi ya kuwa mume#Siri za Wanaume#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF#Usiyoyajua kuhusu mke wako#Wanaume🌐 Kiswahili
Jinsi ya kumfanya mwanamke afurahi na akupende kwa kumfanyia mambo anayoyataka

Kuna mambo ya msingi ambayo mwanamke anahitaji kutoka kwa mwanamme ili kufurahi na kutulia katika mahusiano japokuwa sio rahisi kukwambia mojakwa moja.

Mambo hayo ni kama ifuatavyo;

Kupewa nafasi na kipaumbele.

Wanawake wanapenda kuwa namba moja au kupendwa kuliko yeyote. Kumpenda mwanamke haikuishii kwenye kumpata na kumliki, kisha kujisahau kwa kisingizio kuwa umemuoa au umemvisha pete ya uchumba, ni zaidi ya hapo. Wanawake wanapenda watangulizwe katika mapenzi na kusiwepo na mwingine wa kuchukua nafasi yao katika mazungumzo na mapenzi kwa ujumla na katika maisha yao.

Β 

Kuheshimiwa

Wanawake wanapenda kueshimiwa kwa maneno na matendo. Wanawake hawapendi kuitwa majina mabaya kwa mfano mjinga, Malaya au kulinganishwa na wanawake wenzao wabaya. Wanawake hawapendi kukosewa heshima hasa mbele za watu, hata kama ni kwa mambo madogo madogo.

Kuridhishwa Kwenye tendo la ndoa

Mwanamke anapenda aridhishwe Kwenye tendo la ndoa. Hata kama utakuwa na kiwango kikubwa cha mapenzi juu ya mpenzi wako kwa kiwango gani, ukiwa dhaifu katika tendo la ndoa utayumbisha penzi lako. Utundu na ufundi unahitajika ili kumkata kiu mpenzi wako. Mwanamme anatakiwa kuhakikisha kuwa anamtosheleza mpenzi wake katika tendo hilo.

Β 

Nafasi ya kuongea na kujieleza

Wanawake wanapenda wapewe nafasi ya kuongea na kujieleza vile watakavyo. Mpe uhuru mpenzi wako kuzungumza na kumsikiliza bila kumkatiza kwa ukali pale anapoongea sana. Kwa kawaida wanawake wanatajwa kuzungumza maneno 25,000 kwa siku, wakati wanaume wakibaki na kiwango cha maneno 5,000 kwa siku, wanawake hupenda zaidi kujieleza walivyo mbele ya wengine. Kwa hiyo wakizuiwa wasiongee hujiona kama wanakosa nafasi muhimu ya kueleza mawazo yao.

Β 

Kusaidiwa katika shida na matatizo yao

Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za kimaisha, kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo. Kama mwanaume hatamfanyia mpenzi wake hili atakuwa amekosa sifa za kuteka penzi la mwanamke.

Kubembelezwa

Wanawake hupenda kubembelezwa hasa pale wanapokuwa na huzuni. Wanawake wengi hupenda kuelimishwa zaidi kuliko kufokewa. Wanawake hawapendi kukaripiwa, mara nyingi hupenda kuungwa mkono wanapokuwa na misuguano na wengine. Ili mwanaume amteke kimapenzi mwanamke lazima awe nyuma yake hata kama atakuwa na kosa.

Mfahamu zaidi Mwanamke kwa Kupitia Kitabu hiki kizuri cha SIRI ZA MWANAMKE
[products columns="2" ids="30827"]
βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.