Jinsi vitunguu swaumu vinavyosaidia kuzuia wadudu shambani
ποΈ Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Kilimo cha Vitunguu#Makala za Kilimo#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDFπ Kiswahili

Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya.
Hatua za kufuata kutengeneza dawa ya kitunguu saumu
- Saga kitunguu saumu kimoja,
- Changanyakwenye lita moja ya maji
- Nyunyizia kwenye mazao.
- Unaweza pia kusaga vitunguu saumu 3,
- kishachanganya na mafuta taa,
- acha ikae kwa siku tatu,
- kisha ongeza lita 10 za maji ya sabuni na unyunyizie.
β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.