Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..
John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje.....`ย
`Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!`*
`John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu......` ๐๐,๐๐