PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Mafundisho ya Katekisimu Β· 89

πŸ“„

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Ibada ya Kanisa Katoliki

Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani? Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na majibu kuhusu Katekesi

Katekista ni nani? Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista? Waraka unasema; 1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu 2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali na Majibu kuhusu Rehema

Rehema ni nini? Rehema ni msamaha au ondoleo la adhabu ya dhambi tulizostahili sababu ya dhambi zilizokwisha ondolewa

Open printable article β†’
πŸ“„

Mafundisho kuhusu Toharani

Toharani ni mahali gani? Toharani ni mahali pa mateso zinakosafishwa roho ambazo hazikutimiza kitubio vizuri baada ya kuungama dhambi.

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Kumi ya Mungu: Makatazo na Amri

Amri ya Kumi ya Mungu inaamuru kuheshimu mali ya wengine na kumpenda Mungu kupita vitu vyote

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Nane ya Mungu: Makatazo na Amri

Katika Amri ya Nane Mungu anaamuru tuseme ukweli na tulinde heshima ya wengine. (Mt 5:37, Yak 5:12).

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Tano ya Mungu: Kutunza uhai wetu na wa watu wengine

Katika Amri ya Tano ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tutunze uhai wetu na wa watu wengine tangu mwanzo hadi mwisho. (Mwa 4:10-11) Kwa nini ni lazima kutunza uhai wetu na wa wenzetu? Kwa sababu uhai wa watu wote umetoka kwa Mungu

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya nne ya Mungu: Kuheshimu Wazazi

Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wetu wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12, Kol 3:20) Amri ya Nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12), Kol 3:20

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Pili ya Mungu: Tunakatazwa kuapa bure au uongo kwa Jina la Mungu

Katika amri ya pili ya Mungu tumekatazwa nini? Katika amri ya pili ya Mungu tunakatazwa kuapa bure kwa Jina la Mungu Kiapo cha uongo ni nini? Ni kuahidi kwa kiapo bila nia ya kutimiza au kuvunja ahadi iliyotelewa.

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri za Kanisa: Mambo ya Muhimu kujua na Kuzingatia

Amri za kanisa ni; 1. Hudhuria Misa Takatifu Dominika na sikukuu zilizoamriwa. 2. Funga siku ya Jumatano ya Majivu; usile nyama siku ya Ijumaa Kuu 3.Ungama dhambi zako walau mara moja kila mwaka. 4. Pokea Ekaristi Takatifu hasa wakati wa Pasaka 5. Saidia Kanisa Katoliki kwa zaka 6. Shika sheria Katoliki za ndoa.

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Muhimu kufahamu kuhusu Ishara ya Msalaba

Ishara ya msalaba ni nini? Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka β€œKwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina”

Open printable article β†’
πŸ“„

Mafundisho kuhusu Neema

Neema ni nini? Neema ni kipaji cha roho kinachopita nguvu za viumbe vyote; ndicho kipaji tupewacho na Roho Mtakatifu ili tupate uzima wa milele. (Lk 1:30, Rum 5:2)

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri Kumi za Mungu: Mambo ya Msingi unayopaswa kufahamu

Haya ni Mafundisho Muhimu kuhusu Amri kumi za Mungu unayopaswa kufahamu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Kwanza ya Mungu: Mambo Muhimu ya Kuzingatia

Katika amri ya kwanza ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tusadiki kuwa Mungu ni mmoja, ndiye Baba yetu na Mkubwa wetu: tumpende, tumwabudu yeye peke yake. (Mt 10:33, Kumb 6:4-9) Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani? Tunamwabudu Mungu kwa sala , sadaka na matendo mema

Open printable article β†’
πŸ“„

Amri ya Tatu ya Mungu: Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu

Katika amri ya tatu ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu:- 1. Kushiriki Misa Takatifu siku ya Jumapili na Sikukuu zote za Amri 2. Kuacha kazi nzito na 3. Kutenda matendo mema

Open printable article β†’