πBiblia inavyothibitisha kuwa Bikira Maria Mama wa Yesu ni Mama wa Wakristu Wote
Ufunuo 12:1717Kisha lile joka likapatwa na hasira kali kwa ajili ya huyo mwanamke, likaondoka ili kupigana vita na watoto waliosalia wa huyo mwanamke, yaani, wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo.Kwa hiyo Bikira Maria ni Mama wa Wakritu wote yaani, wale wanaozitii amri zaβ¦
Open printable article βπNamna Biblia inavyomueleza Bikira Maria
Biblia inashuhudia kuwa watu wanatofautianaMaandiko matakatifu yanawasifu watu mbalimbali kutokana na jinsi walivyomuamini Mungu na kutenda makuu kwa ajili ya taifa lake.Abrahamu alimuamini Mungu akawa tayari kumtolea sadaka mwanae Isaka, tukio lililomfanya apate baraka ya pekee ya kuwa baba wa waamβ¦
Open printable article βπJinsi Bikira Maria anavyoelezwa Katika dini ya Kiislamu
Kurani inamtaja mwanamke mmoja tu, tena mara 34: ni Mariamu, mama wa nabii Isa. Akichanganywa na dada wa Haruni na Musa, aliyekuwa na jina hilohilo, anatajwa kama binti Imrani. Pia habari nyingine kadhaa zinapishana na zile za Injili.Hata hivyo anapewa heshima ya pekee, kama inavyoonekana katika surβ¦
Open printable article βπHeshima za Liturujia kwa Bikira Maria
Kuna ibada za Mama Bikira Maria zinazoadhimishwa katika liturujia ya Kiroma. Hapa zimepangwa kulingana na heshima zinavyozidiana:Sherehe8 Desemba β Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili 1 Januari β Bikira Maria Mama wa Mungu 25 Machi β Bikira Maria Kupashwa Habari 15 Agosti β Bikira Maria Kupalizwa β¦
Open printable article βπMafundisho (Dogma) ya Kanisa Katoliki kuhusu Bikira Maria
Kuna mafundisho makuu manne kumhusu Bikira Maria ambayo ni lazima kila Mkatoliki ayasadiki kutokana na ufunuo wa Mungu: 1. B. Maria mkingiwa dhambi ya asili 2. B. Maria Mama wa Mungu 3. B. Maria Bikira daima 4. B. Maria kupalizwa mbinguni mwili na rohoMkingiwa Dhambi ya AsiliMalaika alimsalimia Mariβ¦
Open printable article βπKwa nini Bikira Maria hakuwa anaombwa akiwa hai? Watu na mitume hawakuwa wanasali kumuomba yeye
Kwa hiyo Mitume na wakristu wa mwanzoni hawakuwa kumuomba wakati akiwa hai. Ila Baada ya Kifo chake na kupalizwa kwake Mbinguni walianza ibada kwake.Kumbuka, Kifo cha Bikira Maria hakijaandikwa kwenye biblia kwa kua wakati anakufa vitabu vya biblia vilikua vimekwishaandikwaNdio maana anaitwa Mama waβ¦
Open printable article βπAhadi kumi na mbili za Moyo Mtakatfu wa Yesu
Bwana Yesu mwenyewe kwa kutumia kinywa cha Mtakatifu Margareta Maria Alakoki aliahidi Baraka na neema zifuatazo kwa wale wote watakaouheshimu Moyo wake Mtakatifu.Na kwa maneno yake mwenyewe, Bwana Yesu aliahidi:1. βNitawajalia neema zote watakazozihitaji katika hali yao ya maisha2. Nitawajalia amaniβ¦
Open printable article βπTofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi
Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi ni kama Ifuatavyo;IbadaIbada mara nyingi huusisha matendo ya kipekee. Ibada inaweza kuwa ya kuabudu, kusifu, kuomba toba na kushukuruMfano wa ibada ni, Ibada ya Ijumaa kuu, Ibada ya kuabudu sakramenti kuuSadakaNi majitoleo kwa Mungu kwa nia ya kuomba, kusβ¦
Open printable article βπMajivuno na Kujikweza Mbele ya Mungu
Rejea Luka 14:7-24 na Luka 18 :9-18Mungu anakawaida ya kumkweza yoyote ajishushaye na kumshusha yule ajikwezaye. Vile unavyojiona bora mbele ya Mungu na mbele ya watu ndivyo na Mungu anatakavyokuonyesha kuwa wewe sio bora au wewe sio zaidi ya wengine.Madhara ya Kujikweza au majivuno1. Sala zako haziβ¦
Open printable article βπJE,SHERIA YA MAPADRE KUTOOA NA KUISHI USEJA IMEANDIKWA WAPI KATIKA BIBLIA AU IMETUNGWA TU NA PAPA?
Pengine umewahi kuulizwa swali hili wakati fulani.Na jibu lake ni kama ifuayavyo:Mtu anapouliza kila kitu kimeandikwa wapi katika Biblia ni kudhihirisha kutokuijua au kuielewa vizuri Biblia Takatifu na historia yake.Mtu anapong'ang'ania "nionyeshe kitu fulani kimeandikwa wapi kwenye Biblia"ni kutakaβ¦
Open printable article βπAHADI 15 ZA ROZARI TAKATIFU
Mama Bikira Maria alitoa ahadi 15 kwa yule au wale watakaosali Rozari takatifu kila siku. Ahadi hizi aliwapa Mtakatifu Dominic na mwenye heri Alan de la Roche.1. Yeyote yule atakayesali kwa imani rozari hii takatifu atapokea neema kuu zenye nguvu2. Naahidi ulinzi wa kipekee na neema za kipekee kwa yβ¦
Open printable article βπMaana ya Kumuamini Mungu
Kumuamini Mungu ni kuwa na uhakika na uwepo na uwezo wa Mungu. Ni kutambua na kukubali kwa uhakika kuwa Mungu yupo na anaweza kutenda. Unaweza kuwa na Imani lakini ukakosa kuamini yaani unaamini kwa Mungu lakini huamini kama atakutendea.Kuamini kunakua na sifa zifuatazo1. Kutokuwa na mashaka kama Muβ¦
Open printable article βπMambo yanayoweza kusababisha sala au maombi yako yasijibiwe
Mara nyingi tumekua tukiomba lakini hatupati, sababu zinaweza zikawa hizi ;1. Mawazo na matarajio yetuMara nyingi tunajifunga kwenye maombi yetu pale tunapoomba na kisha kuanza kuwaza "hivi Mungu atanipa kikubwa au kidogo au atanisaidia sana au kidogo" Au tunaomba halafu tunakua na matarajio tofautiβ¦
Open printable article βπJe, Kuangalia Picha za Ngono ni dhambi?
Neno la Msingi:Zaburi 101:3βSitaweka mbele ya macho yangu Neno la uovu. Kazi yao waliopotoka naichukia, Haitaambatana nami.βWatu wengi wameanguka katika mtego huu wa Ibilisi na kujikuta wakifanya mambo ya "AIBU" wanapokuwa sehemu zao za Siri iwe ni chumbani au bafuni.Wanaume wamejikuta wakipiga punyβ¦
Open printable article βπJe, Kanisa Katoliki linamwamini ufufuo wa wafu na hukumu ya mwisho?
Believe it or not, the Catholic Church is all in on the resurrection of the dead and the final judgment! Join me on a journey to explore the Church's unwavering faith in the afterlife and all the surprises it has in store for us.
Open printable article β