πMafundisho na mapokeo Katika Kanisa Katoliki yanapopatikana kwenye Biblia
Wakatoliki wengi huyumbishwa kwa kuambiwa huamini mambo ambayo hayako au ni kinyume na Biblia. Aya zifuatazo zitakusaidia wewe mkatoliki kuelewa au kujua mistari ya Biblia inayofafanua imani katoliki.1) KUOMBEA MAREHEMU:2 Mak. 12:38-46Hek. 3:1Tob 4:172) MATUMIZI YA SANAMU NA VISAKRAMENTI2Fal 3:20-21β¦
Open printable article βπMambo ya kufahamu katika kipindi cha kwaresima
Nini maana ya Kwaresima? Kwa Kilatini na Kiitaliano neno Kwaresima lilimaanisha β40β yaani siku 40 za kufunga za wiki kati ya Jumatano ya Majivu hadi Jumamosi Kuu. Kwa Kijerumani Kwaresima maana yake βKipindi cha kufunga.β Kwaresima ilianzaje? Kabla ya kuona Kwaresima jinsi ilivyoanza, ni vizuri kuoβ¦
Open printable article βπMaana ya siku ya Jumatano ya Majivu
Utangulizi Wakati umetimia na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni na kuiamini Injili, (Mk 1:15), haya ndiyo maneno ya kwanza ya Yesu ambayo kadri ya Mwinjili Marko yanafungua kazi ya hadhara ya Yesu, kwa maana hiyo kazi ya Yesu inaanza kwa kuwaandaa watu katika toba ili hatimaye, wapate kuukaribia auβ¦
Open printable article βπIjue Ishara ya Msalaba
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa paji la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka 'Kwa Jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina'.Kugusa paji la uso tuna maana kukubali kwa akili, kugusa kifua maana yake ni kupokea na kuupenda msalaba moyoni na kugusa Mabega maaβ¦
Open printable article βπMaana kamili ya Kwaresma
Neno kwaresma ni neno la kilatini liitwalo Quadragesima maana yake ni arobaini(40). Mpenzi msomaji, katika maisha ya kikristo kuna kipindi cha siku 40.majira haya ya kwaresma huanza siku ya jumatano ya majivu na kuishia jumapili ya pasaka siku ambayo wakristo wanakumbuka kufufuka kwa yesu kristo kutβ¦
Open printable article βπNifunge nini Kwaresma? Mambo ya kufunga kipindi cha Kwaresima
NIFUNGE NINI?Funga huzuni upate furaha,Funga ulabu upate siha,Funga majivuno upata utukufu,Funga uzinzi upate wongofu,Funga kisirani upate utakatifu, Funga umbea upate fanaka,Funga wivu upata baraka,Funga unafiki upate uchaji,Funga kinyongo upate faraja,Funga kwaresima wakati ni huu Funga kiburi ujaβ¦
Open printable article βπMATATIZO YANAYORUDISHA UIMBAJI WA KWAYA KATOLIKI NYUMA
1.Kuwaimbia binadamu.Yaani tupo kwa ajili ya kuimba ili tusifiwe na watu.2.Kuimba bila tafakari.Mara nyingi tunaimba tu bila kuzingatia ujumbe Wa ule wimbo3.Kuimba bila kusali!Yasemekana Kuimba ni kusali Mara mbili.Waimbaji wengi hukariri wimbo na nyimbo nyingi zimetungwa kwa njia ya sala lakini wanβ¦
Open printable article βπAsili na matumizi ya Neno "AMINA" kama kiitikio muhimu katika Liturujia
Kiitikio hicho tunakifahamu sisi sote; tunaitikia mara nyingi lakini je, tunaelewa umuhimu wake? Binafsi nikichunguza wakati wa maadhimisho mbalimbali ya Liturujia hasa Adhimisho la Ekaristi, ni baadhi tu ya waamini wanaoitikiaAmina sehemu mbalimbali wakati wa Misa. Waamini wengine huitikia kwa sautβ¦
Open printable article βπFaida ya kuabudu Ekaristi Takatifu
1.Kila saa moja tunayotumia kuabudu, inafurahisha moyo wa Yesu na hivyo majina yetu huandikwa mbinguni kwa ajili ya uzima wa milele (Mama Thereza wa Calcuta)2.Maisha ya kiroho ya familia zetu yanaimarishwa kwa njia ya saa ya kuabudu (John Paul II)3. Saa takatifu ya kuabudu ni ya muhimu sana kiasi kwβ¦
Open printable article βπUfafanuzi wa Sala ya Baba yetu
Baba Yetu uliye mbinguni,jina lako litukuzwe;ufalme wako ufike,utakalo lifanyikeduniani kama mbinguni.Utupe leo mkate wetu wa kila siku,utusamehe makosa yetu,kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.Usitutie katika kishawishi,lakini utuopoe maovuni.AminaUfafanuzi wake uliotumiwa na Fransisko wa Asiβ¦
Open printable article βπZaburi ya Toba, Zaburi ya 51
Hii ndiyo Sala ya TobaZaburi 511 Ee Mungu, unirehemu,Sawasawa na fadhili zako.Kiasi cha wingi wa rehema zako,Uyafute makosa yangu.2 Unioshe kabisa na uovu wangu,Unitakase dhambi zangu.3 Maana nimejua mimi makosa yanguNa dhambi yangu i mbele yangu daima.4 Nimekutenda dhambi Wewe peke yako,Na kufanya β¦
Open printable article βπMafundisho makubwa ya Yesu Kristo
HeriBasi Yesu alipoona makutano, alipandamlimani akaketi chini, nao wanafunziwake wakamjia. 2Ndipo akaanza kuwafundisha,akisema:3 βWana heri walio masikini wa roho,maana hao Ufalme wa Mbinguni ni wao.4Wana heri wale wanaohuzunika,maana hao watafarijiwa.5Wana heri walio wapole,maana hao watairithi ncβ¦
Open printable article βπMITAGUSO MIKUU YA KANISA KATOLIKI
MITAGUSO MIKUU Yesu Kristo aliwakabidhi mitume kumi na wawili uongozi wa Kanisa wakiwa kundi moja lenye mkuu wake, yaani Petro. Vilevile waandamizi wao, yaani maaskofu wote, ni kundi moja na Papa wa Roma ndiye mkuu wao. Huyo peke yake, na kundi la maaskofu likiwa pamoja naye na chini yake, ndio wenyβ¦
Open printable article βπKwa nini Wakatoliki wanaungama dhambi kwa Padri?
KWANINI NYIE WAKATOLIKI MNAUNGAMA DHAMBI KWA PADRE AMBAYE NI MWANADAMU NA MDHAMBI BADALA YA KUUNGAMA MOJA KWA MOJA KWA MUNGU? Pengine umewahi kuulizwa swali hili au umewahi kujiuliza: hapa ni maelezo yatayokusaidia kuelewa sababu (japo sio zote) na uhalali wa jambo hilo. Hapa tunaongozwa na maneno yβ¦
Open printable article βπMambo manne ya mwisho katika maisha
Mambo manne ambayo ni ya mwisho katika maisha ni;KifoHukumuMbinguniMotoniMambo haya yote yanaweza kutokea wakati wowote bila kujua wala kutarajiaKifoKifo ni kitu ambacho kinaweza kumpata mtu yeyote wa umri wowote awe mtoto kijana au mzee na kwa wakati wowote.Maranyingi watu hawapendi kuongelea kuhusβ¦
Open printable article β