πUjumbe mzuri wa kuamsha mapenzi kwa mtu
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA. Masikini kumbe jike alifika tangu jβ¦
Open printable article βπUjumbe wa kuasa kuhusu upendo
UPENDO ni ubeti wa maneno yaliyo tamkwa mpaka sasa hajulikan nani alietunga!PENZI ni hadithi iliyocmuliwa lakin mpaka sasa hafahamik nan muhucka, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika muda wote huhis anasalitiwa.PENZI Ni kama jengo lilokosa nguzo muda wowote unahic litadondokaβ¦ Ucnβ¦
Open printable article βπSMS yakumtumia mtu unayempenda lakini hamko kwenye mahusiano
macho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moyo urdhiapo upendo moyon huingia.moyo huwa kpofu japo wng wa hisia.upendo ndan ya moyo haupimwi kwa mizani kwa unayemzimikia. moyo wangu umepata hisia Kwa flan licha bdo cjamjua.
Open printable article βπMeseji ya kumshauri mtu kuhusu kupenda
Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpwekeAu kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendoSio pesa wala siluhisho la matakwa yako.
Open printable article βπSMS ya kuasa na kutakia kila la heri katika mapenzi
Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondokaβ¦ Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA au β¦
Open printable article βπUjumbe wa kumtumia rafiki yako anayeolewa
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengiwatakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapoambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakinihawajapata wa kuwaowa
Open printable article βπUjumbe kwa umpendaye kumwambia kuwa sms ni kitu muhimu kutumiana katika mapenzi
Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,ANAKUJALI na,ANAKUTAKIA mafanikio mema
Open printable article βπUjumbe wa kuasa kudumu katika upendo na mapenzi
Hii ni mbegu bora inaitwa UPENDO ipande kwa ndg zako,na pale utakapokuta imeota imwagilie maji ya FURAHA,iwekee kivuli cha USHIRIKIANO, ipalilie kwa jembe la KUSAMEHE, iwekee mbolea ya AMANI, ipige dawa ya NENO LA MUNGU, itakayoua wadudu wote waharibifu kama ubinafsi, chuki, wivu, dharau, unafki, kiβ¦
Open printable article βπSMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye
Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe.Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwakupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,nimeambiwa ilinipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk.Je! uko tayari kuokoa maisha yangu?
Open printable article βπUjumbe wa kutuma kwa mpenzi wako ajione mwenye thamani kubwa
Wewe ni mngβarao machoni mwangu;Tabasamu la midomo yangu;Furaha ya uso wangu;Kwa sababu bila wewe, mimi sinajipya.
Open printable article βπMeseji ya kumtahadharisha mpenzi wako na maadui wa penzi lenu
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafikizako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zakowanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya,tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
Open printable article βπUjumbe kwa mpenzi wako kumwambia hutopenda mwingine zaidi yake
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"
Open printable article βπUjumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa
Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la juani kama upendo wa thamani usioweza kuuzika.
Open printable article βπSMS ya kimahaba kumueleza mpenzi wako maana ya mapenzi, Mapenzi ni nini?
Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, walewanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huitandoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, namimi, mwisho wangu ni wewe.
Open printable article βπSMS nzuri ya kumsifia mpenzi wako
Uzuri wako hung'ara kuendana na matendo yako,Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,kwa yote yajayo mbeleni mwako.
Open printable article β