Uzuri wako hung'ara kuendana na matendo yako,Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,kwa yote yajayo mbeleni mwako.