PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako Β· 290

πŸ“„

Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu

Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko nafuraha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha maranyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapakukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtuanayekujali.

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako

Nafsi yangu inafurahia ya kwambawewe ndio chaguo langu, ubavu wangutabasamu usoni mwangu ndio siri yapendo lako kwangu

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu

Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko nafuraha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha maranyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapakukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtuanayekujali.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu

Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tuUzuri wako sio sababu ya mimi kukupendaIla nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika.

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo

Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani,Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo karibu yangu.Ni zaidi ya roho iendayo safarini.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako yeye ndiye yupo kwenye ubongo wako

Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu;ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu;wangu una wewe tu!

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kuwa yeye tuu mdiye kakutawala

Fikra hutawala mtima wangu,Kwa madhila yalojaa duniani,Kwa muhali wa yanayojiri,Kwa machweo na mawio,Kwa totoro ama nuruni,Nao moyo hukosa ukamilifu,Kwa utashi wa zake hisia,Zinipazo sababu kuu,Ya upendo juu yako,Ya kukufanya daima uwe,Mawazoni mwangu.Mawazoni ama ndotoni,Daima wewe hutawala,Kila as…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa umpendaye akupende zaidi

Moyo wng mtiifu,2li ume2a kwako,kwang huna upungufu yote nimekupa hekoo,utunze na ulee pia uujali kama mama yako alivyofanya kwako.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda yeye tuu

Ingawa mwaka umekwisha, mawazo yangu katu sitobadilisha, amini ni wewe pekee unayenipagawisha, hakika kwa penzi lako kiu yangu katu haitakwisha!

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mtamu wa mapenzi

Pendo la kweli ni hisia zilizomo moyoni ambazo sauyi yake haisikiki isipokuwa kwa akupendae kwa dhati. Nakupenda mpenzi wangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana

Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako,Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako,Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako,Kwa sababu NAKUPENDA sana

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako

Nitaenda mbali Zaidi ya maono yakoSafarini nitajenga hekalu la pendo letuNitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wakoNa mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye

Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwangu. Mawazoni ama ndotoni, Daima wewe huta…

Open printable article β†’