Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani,Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo karibu yangu.Ni zaidi ya roho iendayo safarini.