Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako umpendaye sana
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechokasababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimisina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechokasababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimisina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
Open printable article βMpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu.
Open printable article βMpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu.
Open printable article βWanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jamboambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kilaninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.
Open printable article βImani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufuayaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yoteyaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangukwa kuwa tunapendana!
Open printable article βWewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu!
Open printable article βNatambua ugumu wa mapenziMengi ni matamu, mengine ni machachuIla nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo
Open printable article βNakuomba usiondoke, bali ubaki namiKwani wewe ndiye kamilisho la maishaYangu kwa sasa na siku za usoni
Open printable article βUchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha.
Open printable article βMapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"
Open printable article βNaweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.
Open printable article βMoyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"
Open printable article βmpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mtiusiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww nimrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwanina kupenda xana tabua hilo mpnz wangu
Open printable article βSi vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"
Open printable article βKama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.
Open printable article β