Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jamboambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kilaninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.