PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako Β· 290

πŸ“„

Meseji ya kumtumia mpenzi wako unayempenda sana

Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini KukupendaWewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa umezama kwake

tazama, nimezamandani ya baharila penzi lakosiwezikusonga mbelekurudi nyumasijielewihaya mapenzi ya fujo hayafaikama wanipendajaribu kunipa raha

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumtumia dia wako kumuonyesha jinsi unavyompenda

ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama naliku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlohaliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi MwenyeweSilijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus.Nakupenda Xana Dia

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitajikuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapokama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumuahidi mpenzi wako kuwa utaendelea kumpenda

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwesintopunguza upendo kwako, tunza sms hii yaahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!"NAKUPENDA MALAIKA WANGU"

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake

Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingiumejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, amahakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDAMWINGINE ZAIDI YAKO"

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako asichoke kukupenda

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifananinachochote kwenye huu ulimwengu, sina budikumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejalihisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa wewe ndiye unayempenda wa kwanza

β™₯Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamukusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Hurumahuoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosahusameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kilajambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendohuambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njiaza mafanikio huon…

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda

Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbukakuna akupendaye naye ni MIMI!.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe kwa umpendaye kumwambia unavyotamani kuwa na yeye

Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, nauhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasininavyotamani kuwa nawe sasa.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kimahaba kumwambia mpenzi wako jinsi unavyotamani uwe naye kila sehemu na kila wakati

Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kilandoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakiamafanikio mema kwasababu nakujali.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo tayari kumvumilia

Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha namaumivu yake ndani yangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri sana ya Kimahaba

Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakinitafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumsihi mpenzi wako awe anakupigia simu kwa kuwa hivyo ndivyo kujali

Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa mudafulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, nahuyo ni mimi mara zote nakujali.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa anayo moyo wako

Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yanguusikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee,lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.

Open printable article β†’