Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitajikuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapokama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"