SMS nzuri ya kumtumia mume wako
hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako.
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako.
Open printable article βNina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kajakunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwasasa siwezi kukupatiakwa maana mgeni kashakuharibianakupenda dear
Open printable article βNi yangu mazoea kila cku cm yakokuipokea kama si mesejikunitumialeo naumia kila napo fikiria ninikimetokea hadimawasiliano yetuyameanza kupotea,sawa tu.naamini haliya kawida itarejeanamajonzi moyoni yatanipoteanakupenda mpz
Open printable article βNimezunguka pande zote za Tanzania machonikiyaangazakumsaka mrembowakumkabidhi wangu moyo wenye upendondani yake na kulilaTUNDA lakekwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisikama wewe ndiyeulie uteka moyo wangu.nakupenda laaziz
Open printable article βRaha ya ucngz ni ucngz . . . .''tamu''ya penzi ni ndoto .Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahinikiwa mimi,
Open printable article βKipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijutenakupenda mpz moyoni mwako unitulize.Nakupenda mpz
Open printable article βWewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na walasina wazo la kukutenda, nakuombatuendelee kupendana siku zote habbity wangu
Open printable article βMoyo wangu unajua kupenda katu haujui kutendampz, nakupenda tukwepe fitina mpz.
Open printable article βsura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbalnami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayewezakukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!
Open printable article βkamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyomwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wamaisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!
Open printable article βmapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwezkuipeza,nakupenda wewe pekee
Open printable article βKama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kamanyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza.
Open printable article βkiangazi aumasikakukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yakoya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.
Open printable article βnikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ilanikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.
Open printable article βmapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz nizawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi ganiunanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lakolimezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lakohaliwezi futika.NAKUPENDA
Open printable article β